Mimi ni muumini wa fursa za mtandaoni na naungana na mawazo yako kuhusu hizo fursa hapo juu. Ila unapokuja katika Forex ni rahisi sana kufanya laverage ya mtaji wako tofauti na fursa zingine ambapo unaweza ukawa umeishia kutengeneza 1000$ per month, katika Forex hio ni faida ya siku kwa profession traders japo ina risk kubwa ukilinganisha na fursa zingine.Making money online is easier than most think.
Sahau Forex.
Zipo njia nyingi ambazo ni sustainable unatengeneza pesa bila risk yoyote.
Hauhitaji kuwa na degree kutengeneze pesa. Unachohitaji ni right skills kwaaliji ya kutengeneza pesa mtandaoni.
Kwa faida ya watu hapa ngoja nitaje baadhi ya njia hizi.
1 • Tengeneze blog.
- ukiwa na blog it is easy to make $200 a month.
2 • Freelancing
- unaweza kutengeneza $ 200 - $ 400 a month.
3 • Consultation/ Couching
- you can make so much money. There is no limit.
Kama unahitaji kujua zaidi dont hesitate drop me private message.
Stop lying to yourself.Mimi ni muumini wa fursa za mtandaoni na naungana na mawazo yako kuhusu hizo fursa hapo juu. Ila unapokuja katika Forex ni rahisi sana kufanya laverage ya mtaji wako tofauti na fursa zingine ambapo unaweza ukawa umeishia kutengeneza 1000$ per month, katika Forex hio ni faida ya siku kwa profession traders japo ina risk kubwa ukilinganisha na fursa zingine.
natamani nikuulize how much yu earn ila mm niko zero balance acha niendelee kukaa kimnya mkuuStop lying to yourself.
You can't make $1000 in forex in a constancy manner as newbie.
Na hao professional traders unaowazungumzia ni wa hapa JF?
Pia fahamu watu wanataka kuwekeza kwenye ujuzi unaolipa na usio husisha risk.
Ngoja nikuonyeshe.
Ukijifunza copy writing au graphic design kwa mfano, hapo unakuwa umejifunza skills unazoweza kutumia kuingiza kipato bila kuhusisha risk yoyote.
Mimi mtu anayejifunza kujiongezea kipato mtandaoni kamwe siwezi mshauri trading Forex.
Mimi ninaweza kukuonyesha jinsi unavyoweza kutengeneza pesa hata hapa JF siyo tu kwenye Freelance sites ambazo wengi wenu hamjawahi kutengeneza pesa yoyote tangu mjiunge.
Mkuu big sorry sijaribu kukudhihaki.
I'm telling the truth.
Kutengeneza pesa mtandaoni haiishii tu kuwa na skills nilizolitaja.
You need to build yourself as brand.
Na hii si rahisi.
Ndiyo maana nasema kama unatafuta njia ya kutengeneza pesa mtandaoni you need guidance.
Binafsi namfahamu watu wengi ni graphic designers, content writers, SEO's, transcribers, translators nakadhalika lakini hawawezi tengeneza pesa mtandaoni.
Can you guess why?
They don't know how to SELL.
Na kwasababu wengi wanadhani wanaweza wenyewe wanapoteza muda kwenye strategies zisizofanya kazi.
Weekend njema.
Nilidhani utaniuliza inawezekana vipi kuweza kutengeneza pesa mtandaoni lakini wewe unaniuliza kiasi gani ninachotengeneza.natamani nikuulize how much yu earn ila mm niko zero balance acha niendelee kukaa kimnya mkuu
Haha usiwe mbishi umeshaambiwa 'betting only tu' ! Btw nimependa hiyo kitu uliyoelezea yaani mtu anauza bidhaa online ila hana bidhaa zenyewe na watu wakinunua anawapaje mizigo yao?Wewe ulichoona ni Betting tu??? Watu wanamiliki maduka ya nguo, viatu, electronics, furnitures, wajenzi, mabati etc.. hawana physical office, kila kitu kiko online, ni wewe kutoa order tu wanakudumia faster... jiongeze mkuu, dunian ya sasa sio Ile miaka ya Nyuma...
siku hzi mtu yuko zake ghetto, anafanya labda biashara ya viatu online, unashanga hujawah muona akifanya kazi yeyote, akitoka n kidogo tu amerudi, unajiuliza huyu jamaa anaishije, kodi analipa on time, hajawah miss siku yake ya umeme hata mara moja, anavaa fresh, totoz kwa sana wanapishana tu.. unabak na maswal buku, ukiangalia unavyomaliza soli za viatu alafu bado mambo magumu... dunia imebadilika mno broh, pakubwa mno mno
Umeona mwenyewe alivyoandika comment yake? La kwanza na la mwisho ni betting only tu. Unawezaje kusema wazo lako ni la kwanza na la mwisho na wewe si Mungu?Sasa mbona una attack mtu wakati na yeye katoa wazo lake?
Kila mtu ana mawazo yake hivyo bora ungeweka yako bila kumwattack mwenzio.
Bidhaa anazo, ambacho hana ni ofisi, so anakua nazo ghetto kwake tuHaha usiwe mbishi umeshaambiwa 'betting only tu' ! Btw nimependa hiyo kitu uliyoelezea yaani mtu anauza bidhaa online ila hana bidhaa zenyewe na watu wakinunua anawapaje mizigo yao?
Bidhaa anazo, ambacho hana ni ofisi, so anakua nazo ghetto kwake tu
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Nimejifunza kitu hapa. Nashukuru san mkuu.Stop lying to yourself.
You can't make $1000 in forex in a constancy manner as newbie.
Na hao professional traders unaowazungumzia ni wa hapa JF?
Pia fahamu watu wanataka kuwekeza kwenye ujuzi unaolipa na usio husisha risk.
Ngoja nikuonyeshe.
Ukijifunza copy writing au graphic design kwa mfano, hapo unakuwa umejifunza skills unazoweza kutumia kuingiza kipato bila kuhusisha risk yoyote.
Mimi mtu anayejifunza kujiongezea kipato mtandaoni kamwe siwezi mshauri trading Forex.
Mimi ninaweza kukuonyesha jinsi unavyoweza kutengeneza pesa hata hapa JF siyo tu kwenye Freelance sites ambazo wengi wenu hamjawahi kutengeneza pesa yoyote tangu mjiunge.
Mkuu big sorry sijaribu kukudhihaki.
I'm telling the truth.
Kutengeneza pesa mtandaoni haiishii tu kuwa na skills nilizolitaja.
You need to build yourself as brand.
Na hii si rahisi.
Ndiyo maana nasema kama unatafuta njia ya kutengeneza pesa mtandaoni you need guidance.
Binafsi nawafahamu watu wengi ni graphic designers, content writers, SEO's, transcribers, translators nakadhalika lakini hawawezi tengeneza pesa mtandaoni.
Can you guess why?
They don't know how to SELL.
Na kwasababu wengi wanadhani wanaweza wenyewe wanapoteza muda kwenye strategies zisizofanya kazi.
Weekend njema.
Nilidhani utaniuliza inawezekana vipi kuweza kutengeneza pesa mtandaoni lakini wewe unaniuliza kiasi gani ninachotengeneza.
Kukujibu, I don't make thousands.
Fahamu tu watu mtandaoni watalipia tu ujuzi wanaodhani unatatua changamoto zao.
Unaona ilivyo rahisi?
Lakini ngoja.
Kuuza ni kitu kigumu sana.
You need to be trusted.
Hiyo ndiyo mwanzo wa kutengeneza brand.
Lakini haiishii hapo.
I can write 100000 words.
Lakini kufanya hivyo you need to pay me.
Yes, nakusaidia kurahisisha kitu ambacho ungekifanya kwa miaka but with my guidance it takes few weeks.
Mkuu nisome taratibu na unielewe.
Kama upo na swali niulize nitakujibu.
Asante kwa pendekezo zuri mkuu.Mkuu naomba niwe na
Mkuu naomba uandae uzi maalum juu ya hili swala
Naamini itatusaidia sana sisi vijana ambao tunatafuta fursa za kupata kipato kwa njia ya mtandao
Nawasilisha.
ShukraniAsante kwa pendekezo zuri mkuu.
Niliwaza kuhusu hili lakini sikufahamu lini niweke post hapa JF.
Kesho jioni nitaanda post na nitaweka hapa JF.
Watu watauliza maswali and I will answer them.
Nadhani watu wanapaswa kuelewa sasa hivi everything is going online.
Hii maana yake hela nazo zinahamia mtandaoni.
Na kama hutojifunza namna yakutengeneza pesa kutumia opportunity internet imetoa basi soon you will disappear.
Yes, Jpili nitaweka post bila kukosa.
Jumapili bado haijaisha Mkuu. Tunasubiri Bandiko lako.Asante kwa pendekezo zuri mkuu.