Namna gani naweza tumia Google Adsense kuniingizia kipato

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Wadau wangu habari za kazi, niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu kama mnavyojua Dunia saivi tulipofikia inahitaji matumizi ya akili sana kuliko nguvu kujipatia kipato kama vijana.

So kuna huu mchongo wa Google Adsense ambao unasaidia vijana kupata pesa Online yan mtandaoni kama tunavyojua kuna njia nyingi za kuingiza pesa mtandaoni mfano Cryptocurrency, Marketing, Music production, Graphic design n.k bt hizi ni tofauti na Google adsense coz hizi zinahitaji uwe na content ndo uweze kuGain profit lakini tukija upande wa Google Adsense inatoa faida nyingi kwa watu kujipatia pesa kwa vitu baadhi baadhi vya kimtandao kwa Mfano 1. Blogging 2. Creating forums eg Cat forums au Hii jamii Forum 3. Free online tool site.

Ambapo kwa kutumia Google Adsense utaweza kuearn pesa kuanzia $1 to $ 1500 per day bila Kuandika Content yoyote ile, wala kutumia nguvu nyingi kufikiria

Nahitaji kupata watu wenye uzoefu wa Google Adsense Coz ninashindwa kupromote tool site yangu na kuisett vizuri iwe reacherble

KAMA UPO NA UNAUZOEFU NAKUOMBA TUJADILIANE KDOGO
 
Hii kitu nataka nianze ila shida kupata picha HD ambazo hazina copyright
Ni website gani inatoa picha HD tofauti na canva?
 
Kuna moja inaitwa unsplash inatoa picha HD picha 1 una MB 10 na kuendelea
 
Wadau wangu habari za kazi, niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu kama mnavyojua Dunia saivi tulipofikia inahitaji matumizi ya akili sana kuliko nguvu kujipatia kipato kama vijana.

So kuna huu mchongo wa Google Adsense ambao unasaidia vijana kupata pesa Online yan mtandaoni kama tunavyojua kuna njia nyingi za kuingiza pesa mtandaoni mfano Cryptocurrency, Marketing, Music production, Graphic design n.k bt hizi ni tofauti na Google adsense coz hizi zinahitaji uwe na content ndo uweze kuGain profit lakini tukija upande wa Google Adsense inatoa faida nyingi kwa watu kujipatia pesa kwa vitu baadhi baadhi vya kimtandao kwa Mfano 1. Blogging 2. Creating forums eg Cat forums au Hii jamii Forum 3. Free online tool site.

Ambapo kwa kutumia Google Adsense utaweza kuearn pesa kuanzia $1 to $ 1500 per day bila Kuandika Content yoyote ile, wala kutumia nguvu nyingi kufikiria

Nahitaji kupata watu wenye uzoefu wa Google Adsense Coz ninashindwa kupromote tool site yangu na kuisett vizuri iwe reacherble

KAMA UPO NA UNAUZOEFU NAKUOMBA TUJADILIANE KDOGO
Google Adsence ndo Mkombozi wa Online Content creator, Especially ukifanikiwa kupata traffic ya Nje kama South Afrika, Uk Marekan n.k we sio mwenzetu
 
Mi naijua kwa YouTube ntaeleza nikipata Muda maana nowadays ni mzembe kuandika!

Ila kwenye mwenye account ya Google ana automatic YouTube account

Unapaswa kuwa na subscriber 1000+

Na Watching hours 4000 +

Unajiunga na Adsense kutumia account yako ili kila atakayekuwa ana view account yako anaona Tangazo lile unalipwa kulingana na zone viewers wanapotokea wakati wakiangalia video ulizo weka!!

Averagely ni 30000 Views unapata 100K ya Tanzania

Britanicca
 
Umenipa mwanga, shukurani
 
Kwa local traffic za Tanzania kuna hawa majamaa wa AllmeAds.com, wanalipa poa sana, nadhani wapo Victoria.
 
Mi naijua kwa YouTube ntaeleza nikipata Muda maana nowadays ni mzembe kuandika!

Ila kwenye mwenye account ya Google ana automatic YouTube account

Unapaswa kuwa na subscriber 1000+

Na Watching hours 4000 +

Unajiunga na Adsense kutumia account yako ili kila atakayekuwa ana view account yako anaona Tangazo lile unalipwa kulingana na zone viewers wanapotokea wakati wakiangalia video ulizo weka!!

Averagely ni 30000 Views unapata 100K ya Tanzania

Britanicca
Hiyo 100k kwa views 30,000 unalipwa kwa mara moja tu au?. Na vipi idadi ya views zikiongezeka?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
kama mnatumia blog ukiapload picha moja ya 10Mb ata kama ni kali ukumbuke itakupa shida kwenye page loading na best page loading time inatakiwa iwe ni 3sec sasa kama inafika 10sec ukumbuke Bounce rate itakuwa kubwa na itakushusha sana kwenye SERPs ya Google so muwe nakini alaf ukumbuke unapodownload picha na mwingine nae anachukua hapo hapo so mnacjikuta kila mtu anayo, kinachofuata ni Duplicate content sasa kwenye SEO unajua negative effecta ya duplicate contents.
 
Wadau wangu habari za kazi, niende moja kwa moja kwenye maada hapo juu kama mnavyojua Dunia saivi tulipofikia inahitaji matumizi ya akili sana kuliko nguvu kujipatia kipato kama vijana.

So kuna huu mchongo wa Google Adsense ambao unasaidia vijana kupata pesa Online yan mtandaoni kama tunavyojua kuna njia nyingi za kuingiza pesa mtandaoni mfano Cryptocurrency, Marketing, Music production, Graphic design n.k bt hizi ni tofauti na Google adsense coz hizi zinahitaji uwe na content ndo uweze kuGain profit lakini tukija upande wa Google Adsense inatoa faida nyingi kwa watu kujipatia pesa kwa vitu baadhi baadhi vya kimtandao kwa Mfano 1. Blogging 2. Creating forums eg Cat forums au Hii jamii Forum 3. Free online tool site.

Ambapo kwa kutumia Google Adsense utaweza kuearn pesa kuanzia $1 to $ 1500 per day bila Kuandika Content yoyote ile, wala kutumia nguvu nyingi kufikiria

Nahitaji kupata watu wenye uzoefu wa Google Adsense Coz ninashindwa kupromote tool site yangu na kuisett vizuri iwe reacherble

KAMA UPO NA UNAUZOEFU NAKUOMBA TUJADILIANE KDOGO
0742868019 nicheki telegram lipo group la mambo hayo linaitwa ADSENSE TANZANIA FORUM
Screenshot_2021-10-03-00-54-56.png
 
Back
Top Bottom