Digxam-TZ
Member
- Jul 26, 2021
- 57
- 90
HapanaYaan hivi AdSense kweli kuna watu hapa bongo wana print ata laki kwa siku?
Maana nimesoma wanavo lipa nimechoka.hhh
Au ni mimi ndio sijaelewa.
Maana nimeona kwa click 1000 wanalipa 0.1usd
Hii ina maana ili uingize laki kwa siku unatakiwa upate click 500000.
Kwaiyo kwa siku kama ni blog inatakiwa itembelewe na watu laki 5 na wa click hizo ads zako kila mtu atleast mara moja.
Je kama ndio hivi unaweza ukapata watu laki5 kwa siku?
Kama kuna sehem sijaelewa ebu nielewesheni