Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Haki ya Mungu ukisikia mtu ana covid unamuogopa. Yani unamnyanyapaa live live. Kimbembe apate mume/mke wako
Anatakiwa kwenda kufanya PCR TEST,mgonjwa wa corona anatakiwa awekwe quarantine,isolating those believed or feared to be infected,achaneni na issue sijui eti ataona unamyanyapaa,hawa virus ni deadly virus sio issue ya kuoneana eti aibu!
Labda kweli maneno ya waswahili sie. Maana mimi nina best yangu alivyonambia ana covid nikawa namkwepa mpaka akajishtukia masikini. Ila nlikua namuogopa kusema ukweliSio kweli, maneno ya waswahili haya
Una maanisha nini kusema "Maneno ya waswahili?"Labda kweli maneno ya waswahili sie. Maana mimi nina best yangu alivyonambia ana covid nikawa namkwepa mpaka akajishtukia masikini. Ila nlikua namuogopa kusema ukweli
Yeye huyo ameniambia kua maneno ya waswahili kuhusu kuwakwepa wenye covid. Ndio nikamjibu labda kweli maana nami ni mkwepaji mmoja wapoUna maanisha nini kusema "Maneno ya waswahili?"
Mwenye covid hatakiwi kuchanganyika na watu,anatakiwa ajiweke quarantine.sasa hapo maneno ya waswahili yanaingiaje? fuata maelekezo ya wataalamu achana na maneno ya wafuasi wa Kibwetere.Yeye huyo ameniambia kua maneno ya waswahili kuhusu kuwakwepa wenye covid. Ndio nikamjibu labda kweli maana nami ni mkwepaji mmoja wapo
Kuna mdau hapo juu alisema 'sio kweli maneno ya waswahili hayo' ya kunyanyapaa ndio nikamjibu.Hujasomeka. Uswahili kukwepa? Kwani hatuwakwepi? Mimi mwenyewe akipiga chafya nahepa kama nakwepa mpira.
Study zinaonyesha kuwa mtu anaweza kuumwa kati ya siku 1-3 baada ya kuambukizwa, pia anaweza kuambukiza kati ya siku 7-10.Unyanyapaa ni kitu kibaya sana. Hivyo lazima kuepukwa.
Lakini vipi unapokuwa na mate wako ambae aliugua dalili zote za Uviko na bado anakohoa na kupiga chafya.
Akija kazini mnatakiwa kuishi nae vipi? Maana kilia mtu anaogopa huu ugonjwa.
Kumtenga? Ukimtenga atasema mnafanya unyanyapaa.
Duh! Mimi nilitegemea wagonjwa wengi watakuwa ni makonda na madereva wa Daladala, maana konda mmoja kwa siku anakutana na si chini ya abiria 350, kwa wiki? kwa mwezi? Usisahau smart phone ziko ndani ya daladala.Huku poli tunaugua tunaambukizana na tunapona wote bila hata kujua. Kwakifupi tunauchukulia kama haupo na kweli umetoroka. Misiba inahudhuriwa na watu 1000 na mnalala pamoja kwenye maturubali. Kwa kifupi corona tumemwonyesha ujasiri mpaka ye ndo akaamza kutukimbia. Zimeni tv na smartphone corona anatembea na mawimbi ya media!!!
Kuna mdau hapo juu alisema 'sio kweli maneno ya waswahili hayo' ya kunyanyapaa ndio nikamjibu.