Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Huku poli tunaugua tunaambukizana na tunapona wote bila hata kujua. Kwakifupi tunauchukulia kama haupo na kweli umetoroka. Misiba inahudhuriwa na watu 1000 na mnalala pamoja kwenye maturubali. Kwa kifupi corona tumemwonyesha ujasiri mpaka ye ndo akaamza kutukimbia. Zimeni tv na smartphone corona anatembea na mawimbi ya media!!!
Yeye huyo ameniambia kua maneno ya waswahili kuhusu kuwakwepa wenye covid. Ndio nikamjibu labda kweli maana nami ni mkwepaji mmoja wapo
Muone vile wakati wewe ndio chanzo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ndio binadamu tulivyo. Tunakimbilia tamati bila kujua chanzo [emoji23][emoji23][emoji23]Msala umekugeukia dada, lawama zote kwako, aise bongo sihami [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hospitali ipi hiyo ambayo inapima Corona?Unaelewa utaratibu wa kupima Corona hapa Tanzania?Alikwenda hospital wakampima wakasema hana, ila alikuwa na dalili zote. Ndani ya siku nne alikuwa hoi, mafua,kikohozi na homa plus kukonda na kukongoloka. Sasa hapo atajitenga?
Ha ha ha ha ww kamama balaaaHaki ya Mungu ukisikia mtu ana covid unamuogopa. Yani unamnyanyapaa live live. Kimbembe apate mume/mke wako
Unyanyapaa ni kitu kibaya sana. Hivyo lazima kuepukwa.
Lakini vipi unapokuwa na mate wako ambae aliugua dalili zote za Uviko na bado anakohoa na kupiga chafya.
Akija kazini mnatakiwa kuishi nae vipi? Maana kilia mtu anaogopa huu ugonjwa.
Kumtenga? Ukimtenga atasema mnafanya unyanyapaa.
Wanaousoma ugonjwa ndo wanaopata wasiwasi na ugonjwaDuh! Mimi nilitegemea wagonjwa wengi watakuwa ni makonda na madereva wa Daladala, maana konda mmoja kwa siku anakutana na si chini ya abiria 350, kwa wiki? kwa mwezi? Usisahau smart phone ziko ndani ya daladala.
Kwenye maradhi yoyote huwa kuna hizi hatua pindi mtu anapokutana na vijidudu vya maradhi...Duh! Mimi nilitegemea wagonjwa wengi watakuwa ni makonda na madereva wa Daladala, maana konda mmoja kwa siku anakutana na si chini ya abiria 350, kwa wiki? kwa mwezi? Usisahau smart phone ziko ndani ya daladala.
Wataka sema hawa wanaougua mitaani sio Kovidi?
Muone vile wakati wewe ndio chanzo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ndio binadamu tulivyo. Tunakimbilia tamati bila kujua chanzo [emoji23][emoji23][emoji23]