Waliochangia wote hawajui nini wanaongelea, document iliyo tengenezwa na Cam Scanner huwezi kuwa edited wala kuwa kubadilishwa kwenda word kwasababu Cam Scanner au Scanner yoyote ni inapiga picha kitu ambacho tiali kipo Printed mfano Cheti/Nida hata barua mfano umeandika barua kwa word ume print then una scann na cam scanner hio huwezi rejesha kwa word tena.
PDF ambazo zinaweza kubadikishwa kuwa word na kuwa edited tena ni zilizotengenezwa kwa option ya change feom word to PDF sio kwa njia ya Scanninv.