Namna gani ya kupata uaskari wa bunge na bandari

SIKAUKA MHAPA

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
247
Reaction score
43
Habari za kazi kazi wapendwa wangu, hata kama huna ajira hii nayo ya kubadilishana mawazo pia ni kazi, tafadhalini sana kwa mtu yeyote ambaye anafahamu kwa jinsi gani zile kazi za uaskali wa bunge na wale wa bandali wavyopatikana kwa sababu sijawai hata kuona matangazo ya kazi hizo gazetini wala redioni wala kwenye website zao.ila cha msingi ni kwamba ninazitaka kufanya kazi.
 
kuwa wazi, kinachokusuma kutafuta kazi bunge ni hisia za mshahara mkubwa na bandari ni kupiga deal za wizi. Kama unapenda kazi ya ulinzi nenda jeshi la polisi utapangwa lindo huko unapopataka
 
Hebu mcheki makinda atakusaidia. Nb. Uwe mwanaume kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…