SIKAUKA MHAPA
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 247
- 43
Habari za kazi kazi wapendwa wangu, hata kama huna ajira hii nayo ya kubadilishana mawazo pia ni kazi, tafadhalini sana kwa mtu yeyote ambaye anafahamu kwa jinsi gani zile kazi za uaskali wa bunge na wale wa bandali wavyopatikana kwa sababu sijawai hata kuona matangazo ya kazi hizo gazetini wala redioni wala kwenye website zao.ila cha msingi ni kwamba ninazitaka kufanya kazi.