Namna hii, je naweza pata mimba?

Namna hii, je naweza pata mimba?

SUZANE

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
740
Reaction score
500
shalom!!

Assalam aleikum!

binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga.

mwezi wa nane niliona cku zangu tar 11-14, sept 14 - 18, Oct 22 - 25, before sikuwa narusha siku zangu namna hii, nilikua na tarehe moja tu lkn sielewi huu ni ugonjwa gani umenipata.

Swali
1. Je kwa hali hii naweza kujuaje cku yangu ya kupata mimba?
2. Nataka kushika mimba nifanyeje?
3. Hili ni tatizo? naombeni ushauri wenu wakuu...
 
Jaribu kufanya mapenzi siku hizi huenda ukashika mimba Tarehe 13 November au 14 November au 15 Novermber utashika mimba.@SUZANE

mbona huwa mnasema kupata mimba ni kuanzia siku ya 11-14toka kuanza hedhi?.ukihesabu siku hizo zinaangukia tar 03-06 novemba.sasa hizo tar 13,14 na 15 zimekujaje? Mzizi mkavu nieleweshe na mimi.
 
Last edited by a moderator:
mhh!! nazidi kudata,

nifuate tar zipi sasa!

plz nisaidieni
 
We piga mechi kila siku mambo yataeleweka tu.
 
piga game leo unapata dume aisee. all da best muite mzizimkavu atakuwa nouma.
 
kuwa na irregular periods pia inaweza kuwa dalili ya kitu fulani. jaribu ku google uone causes zake na kama unaweza rudisha ktk mzunguko wa kawaida.
 
ni ishu ya hormonal imbalance...nenda kwa gyno akusadie mwaya!
 
Hesabu siku kumi kuanzia siku ya kwanza ya kuingia kwa period, Kuanzia siku ya kumi na moja hadi kumi na saba ni siku waweza kupata mimba, na sana sana siku ya kumi na NNE ndio inakuwa na chances kubwa kuliko enzake.

Siku ya sita baada ya kuingia period hadi ya kumi ni siku salama kabisa. na siku ya kumi na nane hadi siku moja kabla ya kuingia tena period si siku salama kabisa.

shalom!!

Assalam aleikum!

binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga.

mwezi wa nane niliona cku zangu tar 11-14, sept 14 - 18, Oct 22 - 25, before sikuwa narusha siku zangu namna hii, nilikua na tarehe moja tu lkn sielewi huu ni ugonjwa gani umenipata.

Swali
1. Je kwa hali hii naweza kujuaje cku yangu ya kupata mimba?
2. Nataka kushika mimba nifanyeje?
3. Hili ni tatizo? naombeni ushauri wenu wakuu...
 
Kama ikishindikana hizo siku nitafute kwa PM tuongee kuna staili fulani hivi nitakufundisha.

ingekuwa vyema hizo style ungezielezea hapa ili kila mtu ajifunze huenda ikawasaidia wengi kuliko kumuelimisha huyo mmoja.
 
ingekuwa vyema hizo style ungezielezea hapa ili kila mtu ajifunze huenda ikawasaidia wengi kuliko kumuelimisha huyo mmoja.

Mkuu, Ngoja nifanye naye kwanza huyu halafu akifanikiwa yeye atakuja hapa kuelezea kwa wengine.
 
Back
Top Bottom