Namna hii, je naweza pata mimba?

Namna hii, je naweza pata mimba?

mabadiliko ya hedhi uchangiwa na vitu vingi sana vyote vyenye kupelekea hormone imbalances...kwa mfano stress, kubadilisha makazi na hali ya hewa ya eneo, na pia kikubwa kubadiliko katika uzito wa mwili au kupungua vyote huchangia, ila kikubwa ni kuangalia nini kimebadilika katika mzunguko wa kawaida wa maisha yako kwanza ili ujue ni jambo ambalo lipo nje au ndani ya uwezo wako, kuhusu tarehe ni vizuri ungefanya siku ya 13,14,15 baada ya MP kuna chance kubwa ya kupata mimba, ingawa muda wa ovulation ni siku 14 baada ya MP mara nyingi upo constant ila kama sababu yako chanzo chake ni hormone imbalance basi hata ovulation day inaweza ikawa irregular kwa maana vyote hutegemea hormone( ndo mana hormone imbalance inaweza sababishaga hata kupatikana kwa mapacha wa kutoka mayai tofauti ya kike) so jaribu kupitia tena mabadiliko ya maisha na uzingatie tarehe izo, ukiona bado tatizo pata ushauri wa ana kwa ana wa daktari........
 
ok! ni tatizo dogo hili usiwe na presha. ni sawa kama alivyosema mmoja wa waliotangulia kuwa ovulation ni siku (around 14 days).
Jambo la kufanya ni kuwa weka uwezekano wa kupata mimba bila tatizo. Fanya hivi: hesabu siku 14 ukianzia na siku ya kwanza ya kupata hedhi (siku ya hedhi ya kwanza kuwa day 1) siku 3 kabla ya kufikia siku ya 14(yaani 11, 12, 13) uwezekano wa kupata mimba upo, siku ya 14 yenyewe, 3 baada ya siku ya 14 (yaani tarehe 15, 16, 17) uwezekano upo(siku hizi ni siku za kuhesabu kuanzia hedhi ya 1-14)
hii ni kwa sababu kuta za tumbo la mimba linakuwa liko katika hali kamilifu ya kupokea mbegu za kiume. so siku 3 kabla na baada ya hedhi ni hatari kama hautaki mimba.
zingatia: kuwa makini kuweka kumbukumbu za tarehe za mwezi uendapo hedhi.
Reference: Hatcher A. R etal (1998) The Essentials of Contraceptive Technology, Population Information Program, (WHO), Baltmore, USA pp14-1
Kwa mawasiliano zaidi tupia tena post ama contact: mwasoteemanuel@gmail.com
 
...Naona mengi yamesha changiwa hapo juu kuhusu siku ya 14 (ovulation)
Nyongezayangu ni kuwa hormone imbalance pia hutokea kama ulikuwa unatumia dawa za mpango wa uzazi (family planning). Pale unapo acha kutumia mara nyingi huchukua miezi miwili hadi mitatu hivi kurudia hali ya kawaida na kwa kipindi hicho wengi huwa hawapati mimba na hedhi hubadilika badilika. Hivyo kama ulikuwa unatumia hizo dawa usijali...hali itarudi sawa.

Sijui kama unaongelea mtoto wa kwanza ila kama unawatoto, history tellsl; sio big deal, utapata ujauzito.
Kwa mtu ambaye hajawahi kupata mtoto na anapata shida ya kupata ujauzito, huwa tunashauri, azingatie hizo tarehe na ajitahidi sana wakati WANAFANYA wamalize kwa pamoja au basi mwanamme atangulie kidogo ila amsaidie mama amalize.

Umuhimu wake:wakati mama anafika kileleni cervix hufunguka na hivyo kama kuna sperm hapo huweza kuingia, kwani kuna wamama wengine cervix huwa imejifunga kiasi kuwa mbegu za kiume zinashindwa kuingia na hivyo huwa vigumu kupata mimba.Hii imesaidia wamama wengi kwa nchi za wenzetu, na hisi na kwetu inaweza kuwa na msaada kwa dada/mama zetu.

Mwisho; kwa wamama wenye matatizo ya kupata mimba, epuka vitu/vyakula vyenye Nicotine kama sigara.
 
Safi sana mr. Mparee! nyongeza hapo kidogo. Wengine huweza kuchelewa zaidi ya miezi 3 yaani 4 hadi mwaka mzima au miaka. Hasa DeP (sindano) hweza kusababisha mwanamke asipate ujauzito hata baada ya miaka 6 na kuendelea kwani sindano zinachofanya ni kuua kabisa mayai na kuathiri mfumo wa uzazi.
NB: "It is so stupidity to leave our young sister and mothers use these kind of family planning strategies".
 
jamaaa akupigishe S.q.u.a.r.t.i.n.g CERVIX lazima iachie kama kisu cha moto kwenye siagi !
 
SUZANE tupe mrejesho.

nimefurahi kwakua unajali!!
marejesho ni bilabila, mpaka leo cjaona cku zangu wakati hedhi yng ya mwisho ilokua tarehe 22.10, nimejaribu kupima mimba lakini majibu bado ni negative..., sina raha mawifi zng wananiimbia mtoto si nguo...
 
Last edited by a moderator:
...Naona mengi yamesha changiwa hapo juu kuhusu siku ya 14 (ovulation)
Nyongezayangu ni kuwa hormone imbalance pia hutokea kama ulikuwa unatumia dawa za mpango wa uzazi (family planning). Pale unapo acha kutumia mara nyingi huchukua miezi miwili hadi mitatu hivi kurudia hali ya kawaida na kwa kipindi hicho wengi huwa hawapati mimba na hedhi hubadilika badilika. Hivyo kama ulikuwa unatumia hizo dawa usijali...hali itarudi sawa.

Sijui kama unaongelea mtoto wa kwanza ila kama unawatoto, history tellsl; sio big deal, utapata ujauzito.
Kwa mtu ambaye hajawahi kupata mtoto na anapata shida ya kupata ujauzito, huwa tunashauri, azingatie hizo tarehe na ajitahidi sana wakati WANAFANYA wamalize kwa pamoja au basi mwanamme atangulie kidogo ila amsaidie mama amalize.

Umuhimu wake:wakati mama anafika kileleni cervix hufunguka na hivyo kama kuna sperm hapo huweza kuingia, kwani kuna wamama wengine cervix huwa imejifunga kiasi kuwa mbegu za kiume zinashindwa kuingia na hivyo huwa vigumu kupata mimba.Hii imesaidia wamama wengi kwa nchi za wenzetu, na hisi na kwetu inaweza kuwa na msaada kwa dada/mama zetu.

Mwisho; kwa wamama wenye matatizo ya kupata mimba, epuka vitu/vyakula vyenye Nicotine kama sigara.

best mm sivuti, sinywi pombe kbs, wala sijawahi tumia sindano wala njia yyt ya kuzuia mimba, sijajua tatizo ninini!! mpaka leo bilabila
 
shalom!!

Assalam aleikum!

binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga.

mwezi wa nane niliona cku zangu tar 11-14, sept 14 - 18, Oct 22 - 25, before sikuwa narusha siku zangu namna hii, nilikua na tarehe moja tu lkn sielewi huu ni ugonjwa gani umenipata.

Swali
1. Je kwa hali hii naweza kujuaje cku yangu ya kupata mimba?
2. Nataka kushika mimba nifanyeje?
3. Hili ni tatizo? naombeni ushauri wenu wakuu...

vipi SUZANE imeshanasa?
 
Last edited by a moderator:
nimefurahi kwakua unajali!!
marejesho ni bilabila, mpaka leo cjaona cku zangu wakati hedhi yng ya mwisho ilokua tarehe 22.10, nimejaribu kupima mimba lakini majibu bado ni negative..., sina raha mawifi zng wananiimbia mtoto si nguo...[/QUOTE]

Kwanini unawasikiliza watu wengine? Matatizo wa Kisaikolojia ndio yanakuzuia kushika mimba. Tulia na concentate na kazi/ Shughuli zinazokufurahisha kimawazo na kimwili. Mpende wenzio na uwe na furaha Kitu kitaitika tuu.

1. Unachokifanya sasa ni Machanical intercourse mwili wako hauna maandalizi ya kutosha
2. Je unajuaje kama mwezako hana matatizo ya kutupa mbegu?
 
cjui ila mume wng tayari ana mtoto na mwanamke waliekua chuo pamoja cku za nyuma.

kiukweli kbs stress niliyonayo naona haizuiliki lbd kwa neema ya Mungu....

Cna tegemeo jingine zaidi ya kuisubiri neema ya Mungu.
 
Hicho sio kigezo kwasababu mwili na nguvu za kiume hubalika kadri umri unavyoongezeka na Lifestyle yake. Ni vyema na yeye akafanye Sperm Count ili kuelliminate problem moja.
 
aaah wapi, najifikiria nimuone dr au nijaribu tena mwezi huu..

Nimeumia sana na tatizo lako ila najua lipo tumaini kama wewe ni muamini..........nakushauri pia ukawaone wataalam wataweza kukusaidia kwa kuchukua vipimo.
 
Back
Top Bottom