Peace92
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 261
- 57
Kama ikishindikana hizo siku nitafute kwa PM tuongee kuna staili fulani hivi nitakufundisha.
Zimwage hapahapa bwana mambo ya pm ya nin tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ikishindikana hizo siku nitafute kwa PM tuongee kuna staili fulani hivi nitakufundisha.
SUZANE tupe mrejesho.
...Naona mengi yamesha changiwa hapo juu kuhusu siku ya 14 (ovulation)
Nyongezayangu ni kuwa hormone imbalance pia hutokea kama ulikuwa unatumia dawa za mpango wa uzazi (family planning). Pale unapo acha kutumia mara nyingi huchukua miezi miwili hadi mitatu hivi kurudia hali ya kawaida na kwa kipindi hicho wengi huwa hawapati mimba na hedhi hubadilika badilika. Hivyo kama ulikuwa unatumia hizo dawa usijali...hali itarudi sawa.
Sijui kama unaongelea mtoto wa kwanza ila kama unawatoto, history tellsl; sio big deal, utapata ujauzito.
Kwa mtu ambaye hajawahi kupata mtoto na anapata shida ya kupata ujauzito, huwa tunashauri, azingatie hizo tarehe na ajitahidi sana wakati WANAFANYA wamalize kwa pamoja au basi mwanamme atangulie kidogo ila amsaidie mama amalize.
Umuhimu wake:wakati mama anafika kileleni cervix hufunguka na hivyo kama kuna sperm hapo huweza kuingia, kwani kuna wamama wengine cervix huwa imejifunga kiasi kuwa mbegu za kiume zinashindwa kuingia na hivyo huwa vigumu kupata mimba.Hii imesaidia wamama wengi kwa nchi za wenzetu, na hisi na kwetu inaweza kuwa na msaada kwa dada/mama zetu.
Mwisho; kwa wamama wenye matatizo ya kupata mimba, epuka vitu/vyakula vyenye Nicotine kama sigara.
shalom!!
Assalam aleikum!
binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga.
mwezi wa nane niliona cku zangu tar 11-14, sept 14 - 18, Oct 22 - 25, before sikuwa narusha siku zangu namna hii, nilikua na tarehe moja tu lkn sielewi huu ni ugonjwa gani umenipata.
Swali
1. Je kwa hali hii naweza kujuaje cku yangu ya kupata mimba?
2. Nataka kushika mimba nifanyeje?
3. Hili ni tatizo? naombeni ushauri wenu wakuu...
nimefurahi kwakua unajali!!
marejesho ni bilabila, mpaka leo cjaona cku zangu wakati hedhi yng ya mwisho ilokua tarehe 22.10, nimejaribu kupima mimba lakini majibu bado ni negative..., sina raha mawifi zng wananiimbia mtoto si nguo...[/QUOTE]
Kwanini unawasikiliza watu wengine? Matatizo wa Kisaikolojia ndio yanakuzuia kushika mimba. Tulia na concentate na kazi/ Shughuli zinazokufurahisha kimawazo na kimwili. Mpende wenzio na uwe na furaha Kitu kitaitika tuu.
1. Unachokifanya sasa ni Machanical intercourse mwili wako hauna maandalizi ya kutosha
2. Je unajuaje kama mwezako hana matatizo ya kutupa mbegu?

cjui ila mume wng tayari ana mtoto na mwanamke waliekua chuo pamoja cku za nyuma.
kiukweli kbs stress niliyonayo naona haizuiliki lbd kwa neema ya Mungu....
Cna tegemeo jingine zaidi ya kuisubiri neema ya Mungu.

pole my dear nitafanya maombi kwa ajili yako
cjui ila mume wng tayari ana mtoto na mwanamke waliekua chuo pamoja cku za nyuma.
kiukweli kbs stress niliyonayo naona haizuiliki lbd kwa neema ya Mungu....
Cna tegemeo jingine zaidi ya kuisubiri neema ya Mungu.
Hicho sio kigezo kwasababu mwili na nguvu za kiume hubalika kadri umri unavyoongezeka na Lifestyle yake. Ni vyema na yeye akafanye Sperm Count ili kuelliminate problem moja.
aaah wapi, najifikiria nimuone dr au nijaribu tena mwezi huu..
aaah wapi, najifikiria nimuone dr au nijaribu tena mwezi huu..