Jaribu kufanya mapenzi siku hizi huenda ukashika mimba Tarehe 13 November au 14 November au 15 Novermber utashika mimba.@SUZANE
mhh!! nazidi kudata,
nifuate tar zipi sasa!
plz nisaidieni
Kuanzia tar 7, 8, 9 November uachie mkwaju uingie lazima uvimbe juu.
shalom!!
Assalam aleikum!
binafsi nimeshidwa kuelewa mzunguko wa siku zangu, kwa miezi 3 hii naombeni wataalam mnisaidie kwa kua kuuliza si ujinga.
mwezi wa nane niliona cku zangu tar 11-14, sept 14 - 18, Oct 22 - 25, before sikuwa narusha siku zangu namna hii, nilikua na tarehe moja tu lkn sielewi huu ni ugonjwa gani umenipata.
Swali
1. Je kwa hali hii naweza kujuaje cku yangu ya kupata mimba?
2. Nataka kushika mimba nifanyeje?
3. Hili ni tatizo? naombeni ushauri wenu wakuu...
asanteni sana
Kama ikishindikana hizo siku nitafute kwa PM tuongee kuna staili fulani hivi nitakufundisha.
Kama ikishindikana hizo siku nitafute kwa PM tuongee kuna staili fulani hivi nitakufundisha.
Eh kwa vitendo au
ingekuwa vyema hizo style ungezielezea hapa ili kila mtu ajifunze huenda ikawasaidia wengi kuliko kumuelimisha huyo mmoja.