Namna jiji la Dar lilivyo wabadili watu

Hahaha..nachopenda kutoka watu wanaotoka katika jamii moja hapa dar ni kushirikiana kwao. Pale mabibo kuna wamasai wengi wengi sasa ukipita mida ya usiku kama hii pale nyuma cha chuo cha NIT utawakuta weeengi wamekaa kwenye majani chini ya miti wanajadili mambo yao.
Inavutia sana kuishi lwa namna hii.
 
Umesahau hapo kwa waha kuna kazi ingine wanaifanya mara baada ya kuuza urembo au vyombo ni kufungua maduka ya Vipodozi we ukifika kweny duka la Vipodozi huna haka ya kuulia 80% ni waha
Nashukuru kuongezea.

Halafu wanawatafuna sana wake za watu hasa ile mida yao ya kupitia madeni maana jamaa mda huo anakuwa anapigika kazini huku nyumbani Mha anajito.mbea kisa mwanamke kakopa chupa ya chai hivyo anamtunuku papuchi.
 
Wagogo ni ombaomba , hakuna kabila lenye ombaomba kama wagogo sijui wakoje hawa watu
Hivi wauza kahawa na karanga huwa wanawapa ndugu zao msaada kweli au ndio kila mtu anapambana na hali yake hapa dasalama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…