Namna kubet online

Namna kubet online

msulusuna

New Member
Joined
Feb 5, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Wakuu nahitaji kujua unapobet online na ukashinda hasa sisi watu wa mikoani pesa unaipataje?
 
Haha mkuu unaipata pale unapojisajili na lain yako kwa TIGO pesa ama mtandao mwingine
 
Wakuu nahitaji kujua unapobet online na ukashinda hasa sisi watu wa mikoani pesa unaipataje?
Pole Sana inaonyesha wewe ni mgeni sekta hii,
Ila ukibet online hela wanakutumia kwa namba uliolipia
 
Usijaribu kuingia kwenye ugonjwa huo kabisa
 
Back
Top Bottom