Namna Mchugaji Msigwa anavyoiongelea CHADEMA unaweza kudhani CCM ni Mbinguni alafu CHADEMA ni duniani

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Hua namsikiliza sana Peter Msigwa na vichambo vyake dhidi ya CHADEMA sasa sijui tatizo ni ulimbukeni au ugeni au ushamba.

Nijuavyo mimi vyama vyote vina matatizo. Ila ndugu Msigwa anataka kutuaminisha kwamba kwa yeye kugombana na CHADEMA basi CHADEMA haina jema hata Moja.

Soma Pia:
Ila CCM ni paradiso kuna kila kitu jambo ambalo ni uongo wa mchana kabisa.

Aache utoto akijenge chama chake
 
Halafu ndio mpanga mikakati ya Lissu
 
Ni kawaida ya binadamu ukigombana na rafiki yako, utamuongelea mabaya tu siku zote!
 
Halafu,tukisema "long people" hawana akili mnatulaumu.
 
Kula kwa mdomo raha sana.
 
Kinachosemwa na Msigwa kina ukweli 100% ndiyo maana Mbowe hana la kujibu
Nimemsikiliza Lissu vizuri kuwa anaijua vyema vita ya Msigwa na imeanzia mbali.
Msigwa atakuwa amenyanyaswa sana kiasi Cha kuamua Bora ale pesa za ccm asepe kuliko manyanyaso anayopata Kwa kujitolea.
Tumepoteza watu wazuri sana cdm Kwa ubinafsi wa wachache.
Lissu akiwa kitini watu wakeeli, wapenda haki watarejea au kujiunga cdm
 
Na ndiyo maana Msigwa katika maelezo yake mengi anamshambulia zaidi Mbowe kuliko chadema yenyewe. Mbowe ni tatizo. Kwa kukaa kwake kitini muda mrefu amekigeuza Mungu mtu wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…