Miongoni mwa layman methods za kutunza ini na figo zako ni hizi
:Figo ndio chujio kubwa hasa la damu,epuka kuirundika damu yako na kemikali kama vile madawa na synthetic food.Hapa nina maana hivi vitu hata kama unavitumia viwe ni kwa kiasi kidogo
:Kunywa maji mengi kuisaidia figo yako kuchuja damu kwa urahisi..Kama damu yako ni concentrated kazi inakuwa ngumu na inaweza pelekea figo kucease
:Epuka kutumia vyakula vitakavyoboost levels za Uric Acid kwenye damu(nyama nyekundu),,hii itakusaidia kuepuka mawe ya kwenye figo
:Hakikisha unamaintain pressure ya damu mwilini mwako..Epuka mafuta mengi..kunywa maji ya kutosha..Fanya mazoezi to avoid idle fats
:Epuka kunywa pombe kupita kiasi.Unaliweka ini lako kwenye hatari
Matatizo mengi huwa yanakuwa kwenye chain..Hili linasababisha lile..lile linasababisha lingine
Mimi sio daktari