Habari za jumapili, natumai wale wakristo tumesali na wengine wanaendelea vyema na shughuli zao.
Madokta wa jf Nina kitu kinanisumbua sana, mama yangu ametangulia mbele ya haki kwa "renal failure" daktari alipoulizwa alidai ni kufeli/kushindwa kwa Figo na INI kufanya kazi, je ni njia zipi za kuishi ili kuepuka magonjwa haya?? NA JE YANARITHIWA??? MAANA MAMANGU MKUBWA NAYE AMEANZA MARA FIGO NA DADANGU AMENIPIGIA SIMU KUNIAMBIA KUNA DAWA AMEPEWA ZA FIGO ETI INAMUUMA. sasa naombeni mnifahamishe, shukrani.