FARAJI ABUUU
New Member
- Jul 15, 2021
- 3
- 0
Ukiangalia katika jamii zetu hata kwa baadhi ya wanaharakati wa mambo mbalimbali wanapotaka kufanya jambo ambalo wanaona lina tija kwao au kwa jamii zao wanataka wafanikiwe kwa muda mfupi bila kupima uzito wa jambo lenyewe na namna nzuri ya kulielekea jambo hilo.
Kawaida unapotaka kurekebisha kitu lazima ipatikane athari kwenye vitu vingine.
Kwa kuzingatia hilo tunapotaka kutengeneza kizazi kitakacho simamia misngi ya utawala bora katika kila nyanja tunahitaji mambo yafuatayo:
1. MUDA: Kutengeneza kizazi kitakacho simamia misingi ya utawala bora kuna hitaji muda kulingana na hitajio
2. ELIMU: Ni lazima ipatikane elimu sahihi ya namna ya utawala unaofuata sheria na msingi ya utawala.
3. GHARAMA: Kama ilivyokuwa kawaida vitu kutengemaa na kutoa tija vinakuwa na gharama bila kujali gharama kubwa au ndogo kulingana na hitajio hivyo hata katika kutengeneza kizazi kitakacho simamia misingi ya utawala bora kunahitaji gharama kulingana na hitajio.
4. TATHMINI: Miongoni mwa mambo muhimu ya kuzingatia ni kuangalia namna gani tumefanikiwa,wapi kuna mapungufu,wapi tuboreshe, njia tulizotumia zimekuwa na tija au la na mengineyo.