Namna "nzuri" ya kuficha ushahidi

Huo mfano ungeuweka kwenye pombe mkuu, Si wengine Bangi ni mmea uliobarikiwa, Bangi inafungua mlango wa sita wa fahamu......Sema pombe next time, ama chanjo tu kwa kuna shida gani? Ukisema chanjo live?
 
asante kwa ushauri mkuu. Nikisema hivyo ama post itafutwa au itahamishwa 😀
 
Fasihi kazini, anyway kutokana na uwezo wangu kuwa wa kawaida sikuelewa mpaka niliposoma comments.
 
Duh! Ngoja nisubir elimu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…