Namna Rais wa mchongo anavyopatikana

Namna Rais wa mchongo anavyopatikana

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Leo nawaletea stori fupi kwa njia ya video fupifupi jinsi ambavyo Rais wa mchongo huwa anapatikana.

Rais wa mchongo ni Rais ambae amechongwa au kulazimishwa kuwa Rais na mamlaka ambazo zimepewa jukumu la kulinda demokrasia pamoja na haki za wananchi.

Rais wa mchongo ni Rais ambae hana kibali cha wananchi bali yeye ameingizwa madarakani na vyombo vya dola kwa hiyo yeye hutumikia vyombo vya dola badala ya wananchi.

Katika video hizi fupi hapa chini tutaona jinsi Rais wa mchongo anavyopatikana na pia tutaona wanaomchonga huwa wanamchonga vipi.

Karibuni sana mpate burudani.

Nchale
IMG_20211208_225420.jpg
 
Kuna Chama Cha mchongo
IGP wa mchongo
CDF wa mchongo
CJ wa mchongo
Bunge la mchongo
Time za mchongo
Muungano wa mchongo

Kiufupi hii ni nchi ya mchongo tuishi kimchongo chongo tu
Salute mkuu umehitimisha mada hii kwa heshima,nchi yetu imekuwa kichekesho heshima yote imekwisha,kipindi nchi ina heshima na adabu nchi nyingi za kiafrika zilikuwa zinasubiria tamko kutoka Dar es salaam ili na wao waongee but now even Rwanda inatuona sisi ni nchi kilaza,politician gani aliyefuata nyayo za Dr.Salim A.Salim,Hon.John Malecela(kabla hajakua wa ndio ndio)ministers hawa katika vipindi vyao vya wizara ya nje,watanzania tulikua tunatembea vifua mbele duniani,but now ukitoa passport ya Tanzania ughaibuni reactions za wahudumu zinakuwa za mashaka yaani tumeoza kama wapopo!!shame on us
 
Leo nawaletea stori fupi kwa njia ya video fupifupi jinsi ambavyo Rais wa mchongo huwa anapatikana.

Rais wa mchongo ni Rais ambae amechongwa au kulazimishwa kuwa Rais na mamlaka ambazo zimepewa jukumu la kulinda demokrasia pamoja na haki za wananchi.

Rais wa mchongo ni Rais ambae hana kibali cha wananchi bali yeye ameingizwa madarakani na vyombo vya dola kwa hiyo yeye hutumikia vyombo vya dola badala ya wananchi.

Katika video hizi fupi hapa chini tutaona jinsi Rais wa mchongo anavyopatikana na pia tutaona wanaomchonga huwa wanamchonga vipi.

Karibuni sana mpate burudani.

View attachment 2040113View attachment 2040114View attachment 2040115View attachment 2040117View attachment 2040122
Msaada namna ya kufungua hizi attachment please

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom