Namna Rais wa mchongo anavyopatikana

Duuh! Sijui waliotenda haya wanaamini kuna ahera kweli? Na wanaonufuaika na michongo hii wanalala kwa raha na amani moyoni?
Kikwazo kikubwa kwa Africa ni hao wachongaji,wanalinda maslahi ya kikundi na si nchi
 
Tia neno mkuu. Kwa mara ya kwanza nimekushuhudia umeshndwa kufanya utetezi [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulitaka nitetee nini??? Hivi wewe hadi leo huielewi siasa sasa mimi utanielewa?
 
Cc, Johnthebaptist njoo huku watu wanatuharibia mamb zetu bwashee 🙌
 
Kuna mchongo lakini huu wa kwetu ulisimamiwa na wahuni wasio na akili za kutosha
 
Kuna Chama Cha mchongo
IGP wa mchongo
CDF wa mchongo
CJ wa mchongo
Bunge la mchongo
Time za mchongo
Muungano wa mchongo

Kiufupi hii ni nchi ya mchongo tuishi kimchongo chongo tu
Kwa CDF wa mchongo umekosea,Kati ya watu ambao kidogo wana aibu ni JW, hawa at least wanajaribu kua pembeni na mambo ya siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…