Namna simu za smartphone zinavyochangia kuvunja ndoa

Namna simu za smartphone zinavyochangia kuvunja ndoa

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
2,001
Reaction score
1,591
Habari za mchana wakuu,

Kama kichwa ca habari chahusika hapo juu.

Simu ni kifaa muhimu kwa ajiki ya mawasiliano baina ya watu mbalimbali.

Mbali na mawasiliano simu imewaleta watu karibu na kuwa kitu kimoja aidha kwa kuanziamsha urafiki, mahusiano n.k.

Kutokana na mapinduzi makubwa ya sayansi na teknolojia simu imekuwa kifaa muhimu sana katika kupashana habari,kutafuta taarifa mbalimbali.

Ukiachana na muhimu wa simu lakini kwa upande mwingine zimechangia kwa kiasi kikubwa aidha kwa-:

1. Kuvuruga/kuvunja mahusiano ya watu
2. Kudhalilishana baada ya kutokea kwa migogoro
3. Kutamanishana kwa kutumiana picha uchi
4. Mmomonyoko wa maadili kwa vijana wa rika zote
5. Kuwa na mahusiano pyramid scheme au mtambuka

Je, wewe kama mtumiaji mkubwa wa simu za smartphone ni mambo gani makubwa uliyowahi kuyafanya au kufanyia kulingana na mtumizi yako ya simu?

NAOMBA TUTIRIRIKE.
 
Faza, hakuna simu wala kifaa chochote cha kiteknolojia kinachovunja wala kuharibu Ndoa au Mahusiano. Upumbavu wenu na Ujinga wenu uliokithiri vichwani mwenu ndivyo vinavyofanya uone hivyo. Upungufu wenu wa Kufikiri kwa Uyakinifu ndio unaosababisha hayo yote.

Hivi mtu mzima na akili yako, unajipiga picha za utupu halafu unamtumia mpenzi wako, ili nini!? Wewe mwenyewe umeshindwa kujiamini unataka huyo unaemtumia akuamini vipi? Unakwenda kuliwa nje halafu mnaanza kusimuliana si upumbafu huo.
 
Back
Top Bottom