Namna tunavyoiba kodi japo tunatumia EFD...kwa msaada wa mafundi na TRA

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Ifuatayo ni Technique tunayotumia kuiba kodi kupitia mashine hizi zilizoletwa na sirikali na TRAAAA;
Unanunua mashine 2 unaingiza settings zinazofanana isipokua moja inakua ina act kama client na nyingine ina act kama server,inapofika mda wa kutoa risiti, hii inayo act kama client ndio inakua staring hapa unaprint risit halafu ripoti unasend huku iki map katika mashine ya pili inayo act kama server then hawa TRA hawapati ripoti ya aina yoyote na kampuni inapewa risiti iliyokamilika yenye VAT na kila kitu......na mbinu nyingine ambazo siziweki hapa kwa sasa,kwa sababu hizi mbinu zote kitengo cha FORENSIC cha TRA walitakiwa kua wanzaijua na kuzidhibiti ipasavyo lakini wapo wamekaaa wakipulizwa kipupwe ofisini....pia kuna kodi nyingi tunaikosa kupitia matangazo ya facebook,twitter,google ads kama nchi zingine zinavyofanya kwa kutoza kila tangazo as long linatoka Tanzania....mnakalia kukandamiza amachinga kwa ,mashine za 800,000 ambazo Nairobi zinauzwa 300,000 mapaka 250,000...hebu nisiseme mengi manake tumbo lishavurugika mie........:frown: mfyyuuuuuuuuu sijui tutajifunza lini.....wekeni hizo mashine na atutaendelea kuiba kodi......
 
Mmmh nitaifanyia utafiti.
 
Si nasikia TRA kuna wasomi sana?. Usomi wao uko wapi,?
Au ndo degree za ndalichako at work.
 

kuna haja gani yakutoa kodi ili watawala wakatalii kila kona ya dunia kwa kufanya anasa za kufa mtu,na kutafuta kila namna ya kufuja kodi zetu huku wakitukejeli mnataka rais apande punda,mtake msitake ndege ya rais itanunuliwa
 
inasikitisha kuona mjasiria mali anatozwa kodi na anabanwa wkt yapo makampuni makubwa yamepewa msamaha wa kodi ya mabilioni.
 
umeshafunua siri nzito kwa wafanyabiashara wengine watafanya utafiti kujua zaidi best ila kuwa macho
 
umeshafunua siri nzito kwa wafanyabiashara wengine watafanya utafiti kujua zaidi best ila kuwa macho

Sikiliza ladyfurahia hao hawafanyi kazi kwanza ndio wizi namba 1, pili wakiziba huo mlango tunafungua mwingine ,so many ways of killing a CAT hao kitengo cha FORENSIC walitakiwa kujua yote haya , waache wapigwe ac hapo ofcn walete mashine zao tuzifanyie kazi
 
Tena hao agent wa EFD ndo wanakushauri ununue mashine mbili wanakupa mbinu zote arafu unagawana nao hizo hela kwa mwaka au miezi 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…