Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

Aysee ngoja nikuache naona ume panic mkuu
 
Haijui dunia huyo bwashee, watu wanafosi afe kipa afe beki , anafikiri njia za kutafuta lazima zifanane
 
Humu ndani kuna "Jamiiforums effect". Yaani wengi wetu humu tumesoma, tumeajiriwa, tunaishi mijini, tumepata mwanzo mzuri kwenye maisha.

Lakini je, utazungumzia vipi 60-65% ya watanzania wanaoishi vijijini?

Tunapotezeaje kwamba ni chini ya 10% ya watanzania ndo wana elimu ya chuo?

Mimi naamini ni suala la mfumo zaidi, na ndio maana limekaa kikanda. Kusini mwa Sahara kote kunasifika kwa umasikini...
 
Mkuu mbona unatukana tena 😂
Una jua mwanaume ndio kiumbe pekee ana anza na value ya 0, mwanamke tayari yuko ahead!.

Kijana wa miaka 18 na binti wa 18 hawa lingani, tayari wamesha tofautishwa kwenye jamii.

Mwanamke mpaka ana pigiwa debe kuinuliwa, what about a man nah nani alisha kisikia kilio chake?

so badala ya kusema mna fanya hiki na kile ambacho ni rahisi, jaribu kuja na njia zinazo fanya kazi za kumuinua au kusikika kwa kilio cha mwanaume
 
😂😂😂
 
Uko sahihi sana.
 
Mkuu hata huko huko vijijini Kuna wanaobadilika na kukua taratibu taratibu ingawa speed haiwezi kuwa sawa na WA mjini lakini kama ikatokea wakabadilika hata kwa 1% ni hatua
 
Maafisa usafirishaji ✅️
Bodaboda ❌️
Usafiri wangu pendwa home to kariakoo
🏍 😍
 
Unacheka kwa sababu ya upumbavu wako! Bidabida nwenye akili ana hela kuliko mwajiriwa wa halmashauri!
 
Kila aya imebeba uhalisia wa kutisha na kusikitisha sana😭😭😭
 
Sio kwamba hizi kazi ni mbaya hapana.
Lakini bila plan, *zinakumaliza kimya kimya tahamaki 60 hii hapa😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…