Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Tena mchana kweupe.
JImbo la Uttar Pradesh nchini India lina watu takribani 240 milioni.
Asilimia 5.8 tu ya watu wote wamepata dozi kamili
Marekani ina watu takribani milioni 330.
Asilimia 54 ya watu wote wamepata dozi kamili - yaani zaidi ya nusu.
LAKINI
Uttar Pradesh imetangazwa kuwa iko free toka kwenye ugonjwa huu (tazama grafu hapo juu ni ya hadi juzi tu tar 17/9).
Ilhali Marekani bado inahangaika nao.
NINI TOFAUTI
- Uttar Pradesh wametoa SANA dawa ya Ivermectin kwa watu wao.
- Marekani wanadanganya watu wao kuwa Ivermectin sio dawa ya hiki kirusi. (Na hata dunia nzima imedanganywa hivyo)
- Sio kweli kwamba kirusi hiki hakina dawa.
- Hii sindano lengo lake sio kuleta afya.
- Usipojiokoa mwenyewe, huna wa kumlaumu
- Kama dawa ipo, kwa nini wamekalia sindano, sindano?
- Kama hili wameficha, ni mangapi mengine wameficha?
- Kwa kuwa inaonekana afya sio lengo, lengo lao ni nini?
SOURCE: India State Of 241 MILLION People Declared COVID-Free After Government Promotes Ivermectin