Namna vijana wa CCM wanafeli ni kuunga mkono utamaduni wa zidumu fikra za mwenyekiti

Namna vijana wa CCM wanafeli ni kuunga mkono utamaduni wa zidumu fikra za mwenyekiti

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Tunapoelekea kwenye uchaguzi 2025 ni muhim ViJana wa CCM wakafaham kuwa kinacho waangusha ni kuendeleza Sana utamadudi wa ZIDUMU FIKRA za MWENYEKITI .

Kuna mda serikali inafanya utumbo lakini kwasababu ya UTAMADUNI huo vijana wanashindwa hata kupendekeza mbadala muafaka juu ya Mambo yanayotokea.

Na isipo angaliwa na kurekebishwa tabia hii ya ZIDUMU FIKRA za MWENYEKITI itakiua chama Cha mapinduzi / CCM
 
Back
Top Bottom