Habari mimi ni Mdau wa Jamii Forums kutoka Arusha.
Naomba utusaidie kupaza sauti dhidi ya watu wanaochafua mazingira na mabango haya kwan wao baada ya kumaliza mikutano yao huwa hawana utaratibu wa kurudi kusafisha maeneo wanayoyachafua.
Wabandikaji wa mabango haya wamekuwa wakiyabandika bila ustaarabu wowote ule..
Your browser is not able to display this video.
Mamlaka husika ziangalie utaratibu wa kudhibiti uchafuzi huu kwani Jiji letu ni jiji la kitalii halipendezi na huu uchafuzi unaofanywa.
Akili kama zako zimejaa ufukara ndani yake. Nini faida ya kubandika bango lili eneo like mara elfu moja? Huoni kwamba huo ni uchafuzi wa maeneo/ mazingira na matumizo mabaya ya pesa?
Habari mimi ni Mdau wa Jamii Forums kutoka Arusha.
Naomba utusaidie kupaza sauti dhidi ya watu wanaochafua mazingira na mabango haya kwan wao baada ya kumaliza mikutano yao huwa hawana utaratibu wa kurudi kusafisha maeneo wanayoyachafua.
Vipeperushi bila kuwa na udhibiti maalumu ni uchafu na sio Arusha tu sehemu yeyote ile. Utakuta vipeperushi vingine vinabandikwa holela mahali popote pale, kwenye nguzo ya umeme, ukutani wa nyumba ya MTU au barabarani kwenye kingo nknk . Huu ni uchafu.