Namna vyombo vya habari vya kimataifa vinavyoripoti mzozo wa Israel na Palestine

Unamaanisha Israel anaonewa?
 
Hamas amerusha makombora matatu mara ya kwanza, matatu mara ya pili, matatu tena mara ya tatu jumla makombora tisa, hapakuwepo Breaking News, Israel amerusha kombora moja tu vyombo vya habari vikatoa breaking news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…