Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
kuna ka feeling fulani hivi hata siwezi elezeaKwann mnapenda sana mana si ww tu
[emoji375][emoji375]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna ka feeling fulani hivi hata siwezi elezeaKwann mnapenda sana mana si ww tu
[emoji375][emoji375]
Hiyo namba 3 ya Kizani/Gizani sijui kwann wadada huwa hawaipendi/hawaitaki kabisa.Habari zenu wote wana jamii.
Mara nyingi umewahi kusikia wanawake wakichukia kwamba wenza wao wamekuwa wakipatwa na usingizi mara wamalizapo tendo la ndoa. Kama ujasikia hali ya kuwa wewe ni mwanaume utakuwa shuhuda kwa nini umekuwa ukihisi usingizi au hata kulala kabisa.
Kuna wakati umekuta hata matangazo ya waganga wa kienyeji wauzao dawa za nguvu za kiume wakitaja dalili za ukosefu wa nguvu ya kiume ni kupatwa na usingizi mara baada ya kumaliza tendo la ndoa. Je unakubaliana au umejikubali kwamba usingizi wako huo ni dalili ya wewe kupungukiwa nguvu za kiume? Sio kweli. Zipo sababu za kitaalam zinazoeleza sababu. Uzi huu nitajaribu kujadili namna ya kuzuia usipatwe na usingizi.
1. Style ya kufanya mapenzi.
Epuka style za msawazo (horizontal).
Siku zote mwili wako umetafsiri horizontal na tukio la usingizi ( conditioning reflex action)
2. Toka kitandani kwa muda mara baada ya kumaliza.
Iko hivi wakati unasex kuna "feel good" (oxytocin) hormone huzalishwa. Hii ndio huchangia raha zote na hata kilele chako. Hormone hii huwa inakutoa ktk tress zako zote kwa muda, hivyo kujilaza kitandani wakati huna stress linganisha na muda unaochukua kumlaza mtoto usingizi.
3. Epuka kufanya mapenzi kizani.
Kwa nini kiza? Mwili una saa ya matukio ya ndani. Mara nyingi wengi tumekuwa tukilala usiku na hivyo mwili umeshajenga saa ya ndani ambayo pamoja na mambo mengine kiza ni kiamsho kizuri cha muda wa usingizi. Hivyo ukichanganya visababisho vya usingizi unavyokutana nayo kwa wakati huo, ni vigumu kuzuia usilale kama utakuwa kizani na kitandani.
Najua wengine mtashangaa kwa nini wanaume hukumbwa na usingizi zaidi ya wanawake? Ningezitoa sababu bila shaka ungefaham. Tuweke akiba nextime
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache sana wenye kukumbatia😅😅...Mie napenda alalee anikumbatie 😋😋😋
😂😂😂😂jaman nimecheka had nimekaa khaaa😂😂😂😂Hivyo vitu vipo jikoni...
na chumba cha kulala ugeuze jiko??
Elesha vizuri ndugu, hawaipendi kwa maana wanapenda kiza, au hawaipendi wanapenda kiza?Hiyo namba 3 ya Kizani/Gizani sijui kwann wadada huwa hawaipendi/hawaitaki kabisa.
Ufafanuzi tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea kama huyo mwanamke ndiye unatoka nae mara ya kwanza na anaaibu anaweza kukupotezea kwa kuona haya kukuamsha haha
Yule anakumbatiaga siku mashetani yamelalaWachache sana wenye kukumbatia😅😅...
😂😂😂😂😂😂😂Yule anakumbatiaga siku mashetani yamelala