Nenda kituo cchochote Cha afya,
Wanapochanja corona 19,
Ukitoa details zako ulozojisajili siku ya kuchanja,
--mfano kitambulisho Cha Nida
--Au passport
na namba yako ya simu uliyoiweka simu ya kwnza kuchanja ,
watakuta taarifa zako za cheti chako,
Then wanakutumia kwa simu.
Vyeti vyote vipo kwenye database ya chanjo ya corona19 Tanzania.