mkuu hujanielewa, hata kama ni watu wa jumla ni lazima ufanye utafiti wa soko lilivyo na kw maji ninavyo jua bila kuwa na strong brand huwezi saply mikoa ming, that is why ukienda mwaza kuna maji ambayohuwezi yapata sehemuzingine, ukienda sijui iringa kuna maji, ukienda dar ndo hao wakina uhi, ukija arusha kuna kilimnajaro, siringeti, just water na mengine mengi, utaona kwamba ni kilimanjaro pekee ndo inapatikana almost nchi nzima na uhai kidogo ingawa si kama kilimnajaro, na utaona kwamba dasani ya mwanza alijaribu kuleta maji arusha aishindwa kwa sababu ilmbidi aje auze be ya juu kufidia ghalama za kusafirisha kitu kilicho fanya dasani iuzwe bei ghali kuliko kiimanjro na mwisho wa siku hakuna aliye kuwa anaya nunua,
so kabla hujaanza kuwaza mikoani anza kwana kujenga brand name yako, kujenga brand name si ishu ya kitoto hat kidogo, huwezi leo ukaanza kuzalisha maji tanga halafu kesho unataka yauzwe mtwara, inawezekana ila lazima uwe na capita yakutosha kwenye swala zima la kuitangaza na bei pia,
utaona brand kama cocacola imeweza kufanikiwa kwa mikoa ya kaskazini kwa sababu pia wanatumia fridge za cocacola na hata kusambazwa inasambazwa na cocacola,
kwa kanda ya ziwa utaona dasani nayo ni cocacola ila sijui kwa nini imekuja kushindwa kabisa na nazani hwajajipanga vizuri kimasoko, na kule kwa sasa kuna brand ya uganda naona ndo inafanya vizuri sana,