Namna ya bidhaa kupatikana mikoani kutoka kiwandani.

Namna ya bidhaa kupatikana mikoani kutoka kiwandani.

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Habarini wakuu. mimi nina shida moja ambayo ni namna ya kufanya maji ninayotarajia kuyazalisha hapa kiwandani kwangu kufika kwenye mikoa mbali mbali hapa nchini. Mwenye kujua swala hili ya njia ya kupata soko huko mikoani naomba anijuze tafadhali. Asanteni.
 
Mkuu si unasafirisha tu, Ila kabla hujaanza kufaya hivo ni lazima ufanye Market researchya kutosha kuweza kujua ushindani ukoje mfano kama unataka kusafirisha kwenda Mikoa yaaskazini ujue kuna wakina Kilimanjaro ambaye ameisha kamata soko vilivyo ba Brand yake ni very famous,

- Transportation cost
- Competitions
- Bei waao offer competitors wako ni ipi na je ukisafirisha utauza ka bei ipi na je kwa hiyo bei utaweza uza kweli,
 
Mkuu chasha nategeme ni mzima! kuna ile mada aliyokuwa ameanzisha kichwa mbovu kuhusu ujasiriamali wa kuku, na niliona uko informed kwa mambo hayo!

Naomba nisaidie mimi sasa ninafuga kuku wa mayai je ni masaa mangapi kuku hawa wanatakiwa wawe wakula within 24hrs?

Asante na samahani kuanzisha mada!
 
Mkuu chasha nategeme ni mzima! kuna ile mada aliyokuwa ameanzisha kichwa mbovu kuhusu ujasiriamali wa kuku, na niliona uko informed kwa mambo hayo!

Naomba nisaidie mimi sasa ninafuga kuku wa mayai je ni masaa mangapi kuku hawa wanatakiwa wawe wakula within 24hrs?


Asante na samahani kuanzisha mada!

Mara nyingi ni kungalia kipimo kinacho takiwa kwa siku Moja mgano kama kuku anatakiwa kula Gram 100 kwa siku unaweza ceki una kuku wngapi wanao taga na kama ni 200 basi watakula Gram 2000 kwa siku au Kilo Mbili, unacho takiwa kufanya ni kugawa 1000 unawapa asubuhi na wakimaliza unawawekea hizo zingine na zikiisha zote wapige Mchicha, na mboga zingine za majani ili kufanya kiini kiwe cha njano
 
Mara nyingi ni kungalia kipimo kinacho takiwa kwa siku Moja mgano kama kuku anatakiwa kula Gram 100 kwa siku unaweza ceki una kuku wngapi wanao taga na kama ni 200 basi watakula Gram 2000 kwa siku au Kilo Mbili, unacho takiwa kufanya ni kugawa 1000 unawapa asubuhi na wakimaliza unawawekea hizo zingine na zikiisha zote wapige Mchicha, na mboga zingine za majani ili kufanya kiini kiwe cha njano

Mkuu hakuna shida kuwapa mchicha? je kuna kiasi cha mchicha
 
Mkuu hakuna shida kuwapa mchicha? je kuna kiasi cha mchicha

Mbogaunawapa tu, ilimurai zisiwe na Madawa, unwap Mboga, nahata Matikitik Maji ni chakula kizuri sana kw kuku, mboga ni kwa ajili ya vitamini na kufanya yai kuwa na kiini cha njano
 
Kaka sawa ni kusafirisha lakini namaanisha kuwapata wateja wa jumla huko mikoani au nifungue depot yangu mwenyewe.
 
Kaka sawa ni kusafirisha lakini namaanisha kuwapata wateja wa jumla huko mikoani au nifungue depot yangu mwenyewe.

Mkuu hujanielewa, hata kama ni watu wa Jumla ni lazima ufanye utafiti wa soko lilivyo na kw maji ninavyo jua bila kuwa na strong Brand huwezi saply mikoa ming, That is why ukienda Mwaza kuna Maji ambayohuwezi yapata sehemuzingine, Ukienda sijui Iringa kuna maji, Ukienda Dar ndo hao wakina UHI, Ukija Arusha kuna Kilimnajaro, Siringeti, Just water na mengine mengi, Utaona kwamba ni Kilimanjaro pekee ndo inapatikana almost Nchi nzima na Uhai kidogo ingawa si kama Kilimnajaro, Na utaona kwamba Dasani ya Mwanza alijaribu kuleta Maji Arusha aishindwa kwa sababu ilmbidi aje auze be ya Juu kufidia ghalama za kusafirisha kitu kilicho fanya DASANI iuzwe bei ghali kuliko Kiimanjro na mwisho wa siku hakuna aliye kuwa anaya nunua,

So kabla hujaanza kuwaza Mikoani anza kwana kujenga Brand Name yako, kujenga Brand Name si ishu ya kitoto hat kidogo, huwezi leo ukaanza kuzalisha maji Tanga halafu Kesho unataka yauzwe Mtwara, inawezekana ila lazima uwe na Capita yaKutosha kwenye swala zima la Kuitangaza na bei pia,

Utaona Brand kama Cocacola imeweza kufanikiwa kwa mikoa ya kaskazini kwa sababu pia wanatumia Fridge za Cocacola na hata kusambazwa inasambazwa na cocacola,

Kwa kanda ya ziwa utaona DASANI nayo ni cocacola ila sijui kwa nini imekuja kushindwa kabisa na nazani hwajajipanga vizuri kimasoko, na kule kwa sasa kuna Brand ya Uganda naona ndo inafanya vizuri sana,
 
Nashukuru wameshakupa maelezo ya namna ya kusambaza hayo maji yako
Naomba nikurudishe nyuma
hayo maji yako katika Kiwanda ni ya Kisima au ya mvua
hakikisha yamepimwa na upate Chupa za maana maana huku kuna wenzako wameanzisha Maji Chupa tu zikawaangusha
Na zinategemea Nembo na picha utakayotumia ili yakubalike kuliko Uhai na Kilimanjaro maana ushindani ni mkubwa
 
mkuu hujanielewa, hata kama ni watu wa jumla ni lazima ufanye utafiti wa soko lilivyo na kw maji ninavyo jua bila kuwa na strong brand huwezi saply mikoa ming, that is why ukienda mwaza kuna maji ambayohuwezi yapata sehemuzingine, ukienda sijui iringa kuna maji, ukienda dar ndo hao wakina uhi, ukija arusha kuna kilimnajaro, siringeti, just water na mengine mengi, utaona kwamba ni kilimanjaro pekee ndo inapatikana almost nchi nzima na uhai kidogo ingawa si kama kilimnajaro, na utaona kwamba dasani ya mwanza alijaribu kuleta maji arusha aishindwa kwa sababu ilmbidi aje auze be ya juu kufidia ghalama za kusafirisha kitu kilicho fanya dasani iuzwe bei ghali kuliko kiimanjro na mwisho wa siku hakuna aliye kuwa anaya nunua,

so kabla hujaanza kuwaza mikoani anza kwana kujenga brand name yako, kujenga brand name si ishu ya kitoto hat kidogo, huwezi leo ukaanza kuzalisha maji tanga halafu kesho unataka yauzwe mtwara, inawezekana ila lazima uwe na capita yakutosha kwenye swala zima la kuitangaza na bei pia,

utaona brand kama cocacola imeweza kufanikiwa kwa mikoa ya kaskazini kwa sababu pia wanatumia fridge za cocacola na hata kusambazwa inasambazwa na cocacola,

kwa kanda ya ziwa utaona dasani nayo ni cocacola ila sijui kwa nini imekuja kushindwa kabisa na nazani hwajajipanga vizuri kimasoko, na kule kwa sasa kuna brand ya uganda naona ndo inafanya vizuri sana,

sawa sawa mkubwa nimekuelewa.
 
nashukuru wameshakupa maelezo ya namna ya kusambaza hayo maji yako
naomba nikurudishe nyuma
hayo maji yako katika kiwanda ni ya kisima au ya mvua
hakikisha yamepimwa na upate chupa za maana maana huku kuna wenzako wameanzisha maji chupa tu zikawaangusha
na zinategemea nembo na picha utakayotumia ili yakubalike kuliko uhai na kilimanjaro maana ushindani ni mkubwa

maji yanatokana na visima
 
Back
Top Bottom