Namna ya ku-unlock mi account (Redmi note5-chinese rom)

Namna ya ku-unlock mi account (Redmi note5-chinese rom)

crusader_jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2019
Posts
994
Reaction score
851
Wakuu habari na pole na majukumu kwa mara nyingine tena narudi kwenu kwa mafundi na wajuzi wa IT.
Nna simu aina ya redmi note5 chinese rom yenye android ver.9 muiu10, iyo simu nlirestore kwa bahati mbaya na password za account ya mi cloud nimezisahau na pia namba ya simu nlotumia kutengenezea account ilishafungiwa pamojanna ivo bado laini nlipoteza.

Sikuweka recovery email wal phone kwa wakati ule natengeneza mi account

Naomba kuuliza kama kuna mtu anaweza itengeneza maana ishagoma kuflashika wala kubypass frp kwa ataekua na njia nyingine tafadhali tuwasiliane PM

Samahani kwa andiko kubwa na karibuni pia kwa msaada pia
 
Rudisha simu ya watu kama umeiba,
Kama hujaiba nenda kwenye web yao na uweze kureset hio password kwa kuulizwa maswali na ukiju vizuri utaweza kubadili password

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom