Kama zipo kwenye wallet hamishia kwenye exchange then zi swap kwenda usdt half nenda p2p tafuta wakala mzuri muuzie utachukua ije kwenye lain gani ya simu au acc ya bank,, huwa mimi natumia remitano exchange very easy na wakala mmoja muaminifu sana hapa siwezi kutaja jina lake