Pesa sio tatizo, tatizo domo langu nzitoni pesa tu hauna,,, ukiwa nazo kila kitu kinajitengenezea njia
Mkuu ukiwa na hela udomo zege kwisha
Sasa shida ni nn muonekano wako je upo vizuri mkuu yaani sijui unakwama wapi kwakweli
Kimuonekano nazani 50%Sasa shida ni nn muonekano wako je upo vizuri mkuu yaani sijui unakwama wapi kwakweli
Basi ujitahidi hapo kwenye muonekano mkuu ujue jinsi ya kupangilia nguo uvae vizuri unukie na hela si ipo watakupenda tu
Asante kwa ushauri mkuu, ila kama sielewi elewi vile wakati sijaanza kuzinasa walikuwa wanajileta na wananipenda kufa ila ivi nnazo siwaoniBasi ujitahidi hapo kwenye muonekano mkuu ujue jinsi ya kupangilia nguo uvae vizuri unukie na hela si ipo watakupenda tu
Ikiendelea hivyo uende baharini ukaoge utoe gundu mkuu au uende kanisani ukaombewe
MhAsante kwa ushauri mkuu, ila kama sielewi elewi vile wakati sijaanza kuzinasa walikuwa wanajileta na wananipenda kufa ila ivi nnazo siwaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Domo zege ndio nini??Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Hivo ndivyo vinavyokuvutia kwa mwanaume ?Basi ujitahidi hapo kwenye muonekano mkuu ujue jinsi ya kupangilia nguo uvae vizuri unukie na hela si ipo watakupenda tu
Ikiendelea hivyo uende baharini ukaoge utoe gundu mkuu au uende kanisani ukaombewe
Muonekano wa mtu na mengineyo
Hela ndio inaongea Mobutu halafu usinichoshe na maswali kwani na wewe ni domozege?
Mi wala sio mbea mi mrundi ila kwa sasa nipo kinshasaDomo zege ndio nini??
Yaani wewe ni mbea??
Hicho kidole kwenye Avatar yako kinamaanisha nini?Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Wewe ni mrundi sasa ulikuwa unatakaje
Ushauri wa namna ya kuachana na u domo zegeWewe ni mrundi sasa ulikuwa unatakaje
Don't botherHicho kidole kwenye Avatar yako kinamaanisha nini?
Maneno mengine umeyaandika vibaya kiasi kwamba unampa kazi msomaji wako kuyaelewa.
Domo zege nini
Nikiwa karibu na mtoto wa kike hua domo linakuwa zitoD
Domo zege nini