Namna ya kuacha u domo zege

Namna ya kuacha u domo zege

Nini kauli ya Mwenyekiti wa CHAMA CHA MADOMOZEGE TANZANIA (CHAMATA) kuhusiana na hoja ya mwenzetu?
 
1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!

2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!

3;Kuonga kupita kiasi

4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.

N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa! Nimepatia??
Chai
 
Back
Top Bottom