katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!
Namba 1 na 3 izo zinanihusu, kwanini usinipe madini Katoto kazuri?1;Huwezi kumshawishi demu mzuri akupe namba yake ya simu!ukiambiwa tu hapana na wewe unaridhika tu na kutoa mimacho tu!
2;Ukimwona mwanamke mzuri unashindwa kumsalimia unabaki unamponda tu!
3;Kuonga kupita kiasi
4;Kuanza kujisifia kwa mshkaji pindi umwonapo demu mzuri kuwa wewe ulimiliki vitu vikubwa.
N.B: Ukishindwa kumshawishi mwanamke ina maana hata zoezi la biashara kwako litakuwa ni ngumu kwani hata wateja wanahitaji kutongozwa! Nimepatia??
Madini naomba unielewesheNamba 1 na 3 izo zinanihusu, kwanini usinipe madini Katoto kazuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maujanja yakuacha kuwaogopa hawa viumbeMadini naomba unieleweshe
Dah haya ngoja nitakupa
Asante ila tatizo mimi na kimombo sio marafiki labda unge try ku translatigi
- Be comfortable alone. You don't have to try to act cool or be a try hard; just be loose. ...
- Help someone. ...
- Approach tons of girls on a consistent basis. ...
- Avoid being afraid to fail. ...
- Avoid giving yourself time to make excuses. ...
- Keep having fun. ...
- Be yourself to the extreme. ...
- Network
Naomba ku welcomishwa - JamiiForums
Uzi wake mengine huu hapa , na ni member since October 2018
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje ukianza kunifunza kuandika mkuu?Nimecheka sana iyo "siredi" yake ya zamani. Jamaa anazingua akajifunze kuandika kwanza kwa uandishi huu hata demu lazima akushangae. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najua unajua kuandika ila nadhani unatakiwa uanze kuandika na ku sound professional
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hujakosea Shunie wangu.Hela ndio inaongea Mobutu halafu usinichoshe na maswali kwani na wewe ni domozege?
Ukimtamani ndio ile zako eat and run eenhWala hujakosea Shunie wangu.
Mi bonge la domo zege nikimpenda mtu from the heart [emoji22]
Ila nikimtamani namwambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]si ndioUkimtamani ndio ile zako eat and run eenh
Kama unavyonitamani mimi eti mobutu[emoji23]si ndio
Ila natamani mara chache sana.mara 2-3 kwa mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wewe nimekuelewa kabisa.Kama unavyonitamani mimi eti mobutu
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha wewe nimekuelewa kabisa.
[emoji4] .yani nataka kutangaza ndoa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina tatizo[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ndoa mbona mm ninayo tayari au nitakuwa na ndoa mbili basi