Namna ya kuacha u domo zege

Habari za saa izi wana jamvi, natumai hamjambo, kama inavyo jieleza title siredi mi ni domo zege na nimesha ucoka, kwa hiyo naitaji msaada wa mbinu zakumalizana na ili janga
Tongoza kwa barua, mwisho wa barua usisahau kumaliza na "natumai ombi langu litakubaliwa. Ni mimi nikupendaye, 12 Marook."
Mwisho uwe unaweka 'dedications' mfano 'i need you- Marc Anthony'. Chora na mshale umechoma moyo. Pia usisahau kuipulizia perfume barua kabla ya kuweka kwenye bahasha, ili akifungua inukie. Zingatia hayo, kila la kheri

the Legend☆
 
Na tuseme Ameen mobutu [emoji120][emoji120] hakuna kinachoshindikana chini ya jua

Kwahiyo mobutu we na rangi nyeusi vitu viwili tofauti
Hiyo siku siipatii picha.

Yeap yani una qualification zote nazotaka,tatizo tu naona unapenda mpira,mi sipendagi na wala sijawahi kuangalia mpira maisha yangu yotee [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kwakweli mpira napenda tu sana he he eti hiyo siku huipatii picha ebu ngoja tuone itakavyokuwa sijui utanikimbia na kuja kunianzishia thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ntakubadilisha usiupende.
No siwez kukukimbia coz
1.it is my greatest wish kukuona
2.sijawahi kukupanga kua nina pepesa so tukimeet utaniona the real me [emoji4] wanaokimbia hua ni wale wanao fake.
Thread lazima nikuanzishie but ya ushuhuda jinsi ulivo m cute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mbona kama mambo ya barua has been sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kunibadilisha hapo hutaweza kabisa

Mobutu halafu mm sio mcute kabisa naona una shunie wako kabisa uliyemuunda
 
Huenda [emoji23] maana sijawahi kupenda wala kudate rangi nyeusi.ukute ni wewe hapo.
Ila shunie one day nitaiona tu face yako.kabla ya mwak kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Na tuseme Ameen mobutu [emoji120][emoji120] hakuna kinachoshindikana chini ya jua

Kwahiyo mobutu we na rangi nyeusi vitu viwili tofauti
Hiyo siku siipatii picha.

Yeap yani una qualification zote nazotaka,tatizo tu naona unapenda mpira,mi sipendagi na wala sijawahi kuangalia mpira maisha yangu yotee [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah kwakweli mpira napenda tu sana he he eti hiyo siku huipatii picha ebu ngoja tuone itakavyokuwa sijui utanikimbia na kuja kunianzishia thread [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo kwenye kunibadilisha hapo hutaweza kabisa

Mobutu halafu mm sio mcute kabisa naona una shunie wako kabisa uliyemuunda
Mambo sio mabaya Sana! Sasa mmalizane jumla jumla tuondoke na majibu ya uhakika... Nawaunga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…