Wakuu kwa heshima mie mwenzenu na wazo la biashara ya vifaa vya simu so niko sumbawanga ila napata shida sana kupata bidhaa za jumla nimekua nachukua kwa wenye maduka makubwa wanaouza jumla mie nauza rejareja lakini faida inakua ndogo kila nikiuza
Sasa nimeskia Dar bei poa sana natami na mm ningekuwa naagiza Dar ila changamoto sijui nianzie wapi ili nifanikishe lengo.. mwenye kujua ukweli je bei kule iko vipi usafirishaji nauli na usalama pia make skuizi utapeli mwingi😁