wakuu kwaheshima mie mwenzenu na wazo la biashara ya vifaa vya simu so niko sumbawanga ila napata shida sana kupata bidhaa za jumla nimekua nachukua kwa wenye maduka makubwa wanaouza jumla mie nauza rejareja lakini faida inakua ndogo kila nikiuza sasa nimeskia dar bei poa sana natami na mm ningekuwa naagiza dar ila changamoto sijui nianzie wapi ili nifanikishe lengo.. mwenyekujua ukweli je bei kule iko vipi usafirishaji nauli na usalama pia make skuizi utapeli mwingiš
upo bangwe au kizwite?wakuu kwaheshima mie mwenzenu na wazo la biashara ya vifaa vya simu so niko sumbawanga ila napata shida sana kupata bidhaa za jumla nimekua nachukua kwa wenye maduka makubwa wanaouza jumla mie nauza rejareja lakini faida inakua ndogo kila nikiuza sasa nimeskia dar bei poa sana natami na mm ningekuwa naagiza dar ila changamoto sijui nianzie wapi ili nifanikishe lengo.. mwenyekujua ukweli je bei kule iko vipi usafirishaji nauli na usalama pia make skuizi utapeli mwingiš
upo bangwe au kizwite?
basi watakuwa hamnazoWengi hawatakupa maelezo zaidi ya dhihaka kulingana na mji tajwa. Japo hata mm natamani kujua kupitia wewe
Si atumie tu ungo kuvifataš¹Wengi hawatakupa maelezo zaidi ya dhihaka kulingana na mji tajwa. Japo hata mm natamani kujua kupitia wewe
Vinginevyo utauziwa bidhaa isiyoendana na pesa yako, utaumizwa kwenye bei na bidhaa feki, japokuwa uwepowako hautakuhakikishia kutotapeliwa.Njoo dar mkuu, utembee ujue bei na chimbo. Upate duka moja wanakuwa wanakufungia mzigo na kukutumia bila shida yoyote
Kila la kheri!