Namna ya kuandaa lishe bora ya mtoto wa miez nane

dadamkubwa

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
115
Reaction score
20
Habari zenu wapendwa mm ni mgen naomba mnikaribishe...!!
Lkn pia nilikuwa naomba msaada wa kujua lishe bora ya mtt wa miez nane. mana mtt wangu hatak kunyonya sasa mwezi uliopita amepungua karibia point 7 ,,, msaada wenu plz kwa wanaojua
 
Hataki kunyonya ila si umeanza kumpa chakula? Au pia hataki
 
Hataki kunyonya ila si umeanza kumpa chakula? Au pia hataki

Nimeanza kumpa chakula lkn pia anasumbua sana na kunyonya sana sana usiku ila mchana kutwa hana habari yan hata cjui nifanyeje
 
Nimeanza kumpa chakula lkn pia anasumbua sana na kunyonya sana sana usiku ila mchana kutwa hana habari yan hata cjui nifanyeje

Kuna watoto wa aina hio na hata ukienda hospital watakwambia hayo hayk na kuishia kumpatia dawa za vitamins etc. Mchana uwe unamsagia chakula chake na uhakikishe unaweka virutubisho vyote muhimu km kerot mboga mboga na pia pendelea kitoweo cha kuku na samaki, na nyama mara moja moja usiiwache kabisa kwani nayo ina virutubisho vyake. Ww jitahidi kumlisha vizuri mchana ilivyokua usiku anapata nyonyo ni vyema. Ila ikifika kipindi cha miezi hio mtoto hua haongezeki kilo zake kwa kasi km anapokua miezi ya mwanzo..hapo unaweza kila ukienda clinic unamkuta haongezeki kg hata point hadi unakata tamaa ila hio isikushtue sana...ni mtoto wa mwanzo?
 
Mi hufanya hivi. soya 1kg mahindi 5kg. karanga lobo kilo. matayarisho: chambua soya toa zilizo pasuka kati, mchanga na zilizo oza, ziloweke saa 12 zitoe na kuzikausha maji. zikaange mpaka zilete rangi ya kahawia sisiungue paraza kutoa maganda.
 
chambua mahindi na karanga utoe uchafu. osha vizuri na anika vikauke. vikikauka changanya pamoja na soya. nenda kasage. upishi hakikisha uji unaiva vizuri (pika kwa mda mlefu) ili karanga ziive vizuri, mtoto asije akaharisha kwa kutoiva karanga.
 
mpe mtoto kila siku. TAHADHARI: baada ya miezi miwili mtoto atakuwa ameongeza uzito na kunenepa punguza lishe ya unga wa soya kwa kumpa matunda na vyakula vingine ili mtoto asije akashindwa kutembea kwa kunenepa. wangu alitembea
 
Mtoto wangu wakati tunaanza kumpa alikuwa na miezi 7, na alikuwa anasimama, sisi tulifurahia kuona mtoto amenenepa. matokeo yake akashindwa kusimama kwa unene amekuja kutembea karibu mwaka na nusu
 
Habari zenu wapendwa mm ni mgen naomba mnikaribishe...!!
Lkn pia nilikuwa naomba msaada wa kujua lishe bora ya mtt wa miez nane. mana mtt wangu hatak kunyonya sasa mwezi uliopita amepungua karibia point 7 ,,, msaada wenu plz kwa wanaojua

Hukuwa unahudhuria madarasa ya clinic.
Haya ungeyapata huko.
Usirudie tena.
 
mpe mtoto kila siku. TAHADHARI: baada ya miezi miwili mtoto atakuwa ameongeza uzito na kunenepa punguza lishe ya unga wa soya kwa kumpa matunda na vyakula vingine ili mtoto asije akashindwa kutembea kwa kunenepa. wangu alitembea

Asante sana kwa ushauri wako
 
Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…