Halafu ugari unapakuliwa kwenye kapu lilifumwa na majani mf wa ungo lakin linakuwa na umbo la bakuri kwetu tunaita "kisonzo" kiswahili aifahamu, hii kitu ni zaidi ya hotpot, haya mambo ya sahan za udongo ni mbwembwe tu na huyo anaulizia hivyo nahakika hana njaa, chezea njaa wewe hehehehe