Namna ya kuandaa saladi

Namna ya kuandaa saladi

Subirini, next choma tutaweka salad juu ya jani la mgomba
 
Halafu ugari unapakuliwa kwenye kapu lilifumwa na majani mf wa ungo lakin linakuwa na umbo la bakuri kwetu tunaita "kisonzo" kiswahili aifahamu, hii kitu ni zaidi ya hotpot, haya mambo ya sahan za udongo ni mbwembwe tu na huyo anaulizia hivyo nahakika hana njaa, chezea njaa wewe hehehehe
 
Bro akohi Thanx weekend ntaandaa kama hii thanx kwa kushare nasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom