Namna ya kuandika thread

Namna ya kuandika thread

mwaruhita

Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
25
Reaction score
6
Mimi ni mgeni katika JF. Naomba mnielimishe namna ya kupost thread mpya humu.
 
Unatakiwa usubiri nwaka 1 ndio robot akupe idhini ya kupost hapa JF kwa sasa upo kwenye matazamio kua mvumilivu mkuu.
 
Nina habri nyingi sn lkn cjui kuanzisha kila ck mi nachangi nijuzeni
 
Hizo habr zako andika humu humu kwenye hii siredi
 
Back
Top Bottom