Leo hapa Dar upeo una mawingu kwa hiyo tunasubiri Jua lipande, mawingu yatatoweka baada ya muda
Ni kweli mi binafsi bila kujua nimelazimisha kuangalia jua na athari nimeionaHii ni hatari. Watu waliolazimisha kuangalia Jua moja kwa moja wameumiza macho. Hata kwa sekunde tu inaacha doa katika ona yako.
Hii ni hatari. Watu waliolazimisha kuangalia Jua moja kwa moja wameumiza macho. Hata kwa sekunde tu inaacha doa katika ona yako.
Leo hapa Dar upeo una mawingu kwa hiyo tunasubiri Jua lipande, mawingu yatatoweka baada ya muda
Mlichezeshwa BIKO boss.Mbona hamna kitu
Mimba yako ina miezi mingapi ?Umasikini mzigo. "Kunatusaidia" au unatakiwa kusema "kunanisaidia nini". Kwani wanaoenda kufanya utalii unawasaidia nini?
Hii ni nature na kwa wengine wasio na stress ni burudani.
Pia usipende kuhusisha ishu yako binafsi na watu wote boss.
Wewe umejibu vizuri kuliko yule idiotSwali limejibiwa vizuri, lakini niongeze kuwa kiSayansi, kwa kuona tukio mwenyewe inakudhihirishia nadharia ulizofundishwa na kuelewa kamilifu jinsi asilia ya Ulimwengu wetu ulivyo badala ya kuelezwa tu au kusoma katika vitabu. Watafiti wakiangalia matukio haya kwa makini na wakipata matokeo tofauti basi hiyo husaidia kuboresha nadharia na kanuni zilizokubalika hadi hapo.
Mkuu yaelekea na wewe ni mwabudu sanamu semiramisMkuu unaakili za kuazima.