Namna ya kuangalia kupatwa kwa jua kesho Jumapili asubuhi

Namna ya kuangalia kupatwa kwa jua kesho Jumapili asubuhi

Mawingu yanazingua.. Wengine tunasafari tutashindwa kuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo hapa Dar upeo una mawingu kwa hiyo tunasubiri Jua lipande, mawingu yatatoweka baada ya muda
 
Tukio hili linaanza Afrika na kupita sehemu nyingi Duniani

Worldwide eclipse path.png


Unaweza kufuatillia mtandaoni mubashara kutoka sehemu zingine ambako itapita

Hii ni kutoka Dubai wameanza kuonesha mubashara ila bado Jua halijaanza kupatwa huko


Hii ya kutoka India wanaanza saa moja na nusu saa za Tanzania


Hii ya kutoka Arusha Mount Meru Astronomical Observatory
https://web.facebook.com/groups/telescopestotanzania/?_rdc=1&_rdr
 
Niko Tanga ila mawingu yana wivu sana..ngoja nitulie kwenye balcony hapa btw vipi miwani ya jua inafaa?
 
Hii ni hatari. Watu waliolazimisha kuangalia Jua moja kwa moja wameumiza macho. Hata kwa sekunde tu inaacha doa katika ona yako.


Acha uongo, nimeangalia Sana jua toka mdogo Hadi sasa
 
Mbona hamna kitu
Mlichezeshwa BIKO boss.
Mimi sikujishughulisha na hayo mambo kabisa saa 1 ndiyo kwanza nilikuwa najifunika shuka vizuri.
Eti niachane na usingizi nikalishangae jua kisa wajukuu wa sheikh Yahya wametabiri mpatano!!!
 
Ningekuwa nimelala peke angu labda ningeamka kuangalia.... Ila huyu demu niliyenae... Sio wa kumuacha asubuhi yote hiyo... Kala sana ela zangu
 
Umasikini mzigo. "Kunatusaidia" au unatakiwa kusema "kunanisaidia nini". Kwani wanaoenda kufanya utalii unawasaidia nini?
Hii ni nature na kwa wengine wasio na stress ni burudani.

Pia usipende kuhusisha ishu yako binafsi na watu wote boss.
Mimba yako ina miezi mingapi ?

Next time before you reply to my comments , try to keep your emotions in check.
 
Swali limejibiwa vizuri, lakini niongeze kuwa kiSayansi, kwa kuona tukio mwenyewe inakudhihirishia nadharia ulizofundishwa na kuelewa kamilifu jinsi asilia ya Ulimwengu wetu ulivyo badala ya kuelezwa tu au kusoma katika vitabu. Watafiti wakiangalia matukio haya kwa makini na wakipata matokeo tofauti basi hiyo husaidia kuboresha nadharia na kanuni zilizokubalika hadi hapo.
Wewe umejibu vizuri kuliko yule idiot
 
Back
Top Bottom