Lameck Manyanda
Member
- Sep 20, 2018
- 25
- 10
Niko hapa Dares salaam, ninawalenga vijana hasa walioko vyuoni kwa Shabani niko chuoni pia. Asante kwa ushaurimkuu kwanza uko mkoa gani, na pili jaribu kupita sehemu za bookshop uone,na uangalie unawalenga kuwauzia akina nani,soko lako umewalenga akina nani, any way pambana mkuu
Asante sana. Nina community ya vijana wanaosoma Vitabu tayari pia nina blog site inayohamasisha usomaji wa Vitabu... Kwa hiyo natarajia kuwa nahamasisha usomaji wa Vitabu na pia kuuza.Fanya tafiti za kutosha.
Lakini kwa ujumla wa Tz hatuna utaratibu wa kusoma vitabu vya namna hiyo. Ni wachache.
Labda uchanganye hivyo na vya masomo plus vitabu vya hadithi katika lugha ya kiswahili na Kiingereza ambavyo mtu yoyote ataweza kununua na kusoma.
Asanteee... Gharama zake zikoje?Hello
Naweza kukutengenezea website ya kuuza Vitabu Mtandaoni
Ili
Uweze anza biashara yako hata kwa mtaji mdogo
Na
Pia uweze kuuza mbali kabisa
Asantee mkuuBiashara hii inaenda sambamba na uhamasishaji wa watanzania kusoma vitabu (mana siunajua hatuna hiyo culture) huku unauza huku unahamasisha kwa kuptia njia mbali mbali kama vile mitandao ya kijamii au uhamasishaji wa physical yaan nyumba kwa nyumba!
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app