Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana [emoji1752][emoji1752]unatakiwa uwe na TIN Number,uwe na leseni ya biashara,kitambukisho cha nida mtaji usiopungua laki 6 angalau kila laini 1 ifanye mzunguko wa laki 2 pamoja na ofisi ya kufanyia kazi(kibanda)
Jinsi ya kupata laini uanaenda kwenye ofisi za mtandao husika unapatiwa bure kama umekidhi vigezo nilivyokuambia.
Mapato unalipwa kwa kamisheni kulingana na idadi ya miamala kwa mwezi na kila muamala unapata percentage makato ya mteja aliyokatwa na mtandao husika.
Mf. Mteja akitoa elfu 20,000/= anakwatwa Tsh. 2,000/= haya makato inagawanywa sehemu kuu 3 TRA, mtandao husika na wakala nadhani wakala anapata 10% inamaana ni sawa na Tsh.200/= ukifanya miala elfu moja kwa mtandao husika utalipwa Tsh. 200,000/=kwa mwezi.
Mahesabu ya ukaribu na ukweli nimefanya zamani hii biashara nasikia asiku hizi asilimia zimeshuka fanya utafiti kuhusu hilo.
Huo ni wastani tu na nimekupa kiwango cha chini kwa kuanzia, mimi nilianza na laki moja na mtaji ulikuwa, unaweza kuanzia ata kama una milioni zako kulingana na mzunguko wa eneo na mtaji ulio nao.Yaani ni mtaji wa 200,000 kwa laini moja [emoji848][emoji848]
Upo mkoa gani?Leseni ya biashara naipata wap?
Line ya HALOPESA INAUZWANipo Dar,
Ngoja nifuatilie kwanza TRA
Thread closedUnatakiwa uwe na TIN Number,uwe na leseni ya biashara,kitambukisho cha chaifa(NIDA) mtaji usiopungusiopungua angalau laki 6 kila laini 1 ifanye mzunguko wa laki 2 kwa mitandao 3 pia muhimu uwe na ofisi ya kufanyia kazi(kibanda)
Jinsi ya kupata laini uanaenda kwenye ofisi za mtandao husika unapatiwa bure kama umekidhi vigezo nilivyokuambia.
Mapato unalipwa kwa kamisheni kulingana na idadi ya miamala kwa mwezi na kila muamala unapata percentage makato ya mteja aliyokatwa na mtandao husika.
Mf. Mteja akitoa elfu 20,000/= anakwatwa Tsh. 2,000/= haya makato inagawanywa sehemu kuu 3 TRA, mtandao husika na wakala nadhani wakala anapata 10% inamaana ni sawa na Tsh.200/= ukifanya miala elfu moja kwa mtandao husika utalipwa Tsh. 200,000/=kwa mwezi. Inamaana kwa mitandao 3 ni sawa na laki 6 kwa mwezi utaingiza.
Mahesabu ya ukaribu na ukweli nimefanya zamani hii biashara nasikia asiku hizi asilimia zimeshuka fanya utafiti kuhusu hilo.
Hapa naona leseni tu ndio sinaUpo mkoa gani?
kama ni Dar.unaenda ofisi za almashauri.
ila mpaka kwanza uanzie TRA kufanyiwa makadirio ya kupata TIN number.
upo mkoa ganiNatafuta line ya M-pesa (uwakala) kwa mtu muaminifu aniuzie ili niifanyie kazi kwa mwaka huu huku nikiwa nakamilisha utaratibu wa kufatilia Makao makuu mana kwa sasa voda hawatoi tena line msaada ndugu zangu.
saloon,elfu 50 .ila ukitaka ya chini zaidi waambie unataka kufungua biashara ya kuchaji simu watakadiria,Leseni ya biashara ya gharama ndogo ni kias gani??