nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Sasa mkuu kwenye upande wa kontent ndio tatizo, kwai video nyingi online zina copyright sasa nawezaje kushare video kama hizi bili kuingia matatizoni?Ukishakuwa na e-mail ya gmail unaweza kutengeneza chanel ya youtube, ingia menu ya youtube utaona button ya kutengeneza channel.
Idadi ya subscribers inayotakiwa ili google waanze kuweka ads kwenye video zako ni 1000 na total watching hours 4000 kwa mwaka.
Kitu chochote ambacho kipo kwenye internet kutoka kwa mmiliki aliye sahihi (original creator) tayari kinakuwa na copyright.
Mfano mi nikikopi thread yako hii na kuipost kwenye blog yangu hapo nimeviolate copyright na unauwezo wa kunishtaki.
Kwa hiyo kama hizo video unazoshea zina copyright hilo ni kosa labd tu kwamba hao wenye videos wawe hawana mda nazo kufuatilia hayo.
Kwani wewe unataka kupost videos zenye kuhusiana na nini?sasa mkuu kwenye upande wa kontent ndio tatizo, kwai video nyingi online zina copyright sasa nawezaje kushare video kama hizi bili kuingia matatizoni?
Powa sana mkuu nataka nianze kwa ajili cartoonKwani ww unataka kupost videos zenye kuhusiana na nini?
Watu wanaupload videos za wasanii wa bongo na wanapata monetize.
Youtube huwa wanadelete videos ambazo zina copyright cha muhimu video ziedit.
Kama katuni za nje tegemea kufutwa.
Na malipo yanalipwaje mkuu? Na ni kiasi gani cha chini cha malipo?Kama katuni za nje tegemea kufutwa.
Ila kama unatengeneza mwenyewe iko poa sana.
Malipo unapokea kwa njia ya western union.Na malipo yanalipwaje mkuu? Na ni kiasi gani cha chini cha malipo?
Malipo unapokea kwa njia ya western union.
Malipo yanategemea na idadi ya views, muda ambao mtu ameangalia tangazo kupitia video yako, clicks za kwenye tangazo, location(nchi za watazamaji wa video ).
Pesa unazitoa kutoka akaunti ya adsense ikifika $100 hii ndio minimum ya kuwithdraw.