nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Habari ndugu wana JF,
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikipata hamasa na kutamani kuanzisha profitable YouTube channel, ila imekuwa ikiniwia ngumu kutokana na kutokuwa mtaalamu wa haya mambo. Mwenye ujuzi naombeni msaada ili iwe chachu kwangu na kwa wale wengine wataoona inafaa kuanzisha kitu kama hiki.
Vitu vya kuzingatia:
Namna ya kiuanzisha,
Idadi ya subscriber
Namna ya ulipwaji na
Zaidi ya yote ni kwamba, je sio kosa kushare video ya mtu kwenye chaneli yako?
Natanguliza shukrani za dhati